Rudia kusoma tena naamini utamuelewakwahyo mtu akishanunua viwanja na kupanua biashara na kumjua Mungu basi awe na tattoo, aongeze weupe na aonyeshe mapaja maana kashakidhi vigezo vyako
Aisee sikuwez mweee ila kwenye tatooo mhhhWenzako wanakazana kuongeza Viwanja Na
Magari We Umekazana Kuongeza Tatoo Mwilini
Wenzako Wanakazana Kupanua Biashara Zao We
Unakazana Kuongeza Weupe Mwilini
Wenzako wanakazana kumtafuta Mungu We
unakazana kuonyesha mapaja na matiti yako Mwisho wa siku unakuja kuwaona wenzako
wachawi kumbe umejiroga wewe mwenyewe