Wewe ndo buege Kabisaa Nakwambia..!

Wewe ndo buege Kabisaa Nakwambia..!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Wenzako wanakazana kuongeza Viwanja Na
Magari We Umekazana Kuongeza Tatoo Mwilini
Wenzako Wanakazana Kupanua Biashara Zao We
Unakazana Kuongeza Weupe Mwilini
Wenzako wanakazana kumtafuta Mungu We
unakazana kuonyesha mapaja na matiti yako Mwisho wa siku unakuja kuwaona wenzako
wachawi kumbe umejiroga wewe mwenyewe
 
Nani huyo? Maisha ni kuchagua..... as long hakuombi kitu mkuu acha afanye yale yamfurahishayo
 
kwahyo mtu akishanunua viwanja na kupanua biashara na kumjua Mungu basi awe na tattoo, aongeze weupe na aonyeshe mapaja maana kashakidhi vigezo vyako
 
Kabisaaa
09019db9f1713f2554407588931899bf.jpg
 
Wengine wanakazana kuanzisha biashara ndogondogo,wengine wanazunguka na bahasha kutafta kazi.
 
kwahyo mtu akishanunua viwanja na kupanua biashara na kumjua Mungu basi awe na tattoo, aongeze weupe na aonyeshe mapaja maana kashakidhi vigezo vyako
Bado haujanielewa
 
Bila sisi dunia ingejaa mashoga Mungu alijua hilo mapema,mtoto wa kiume umeshakula ugali wako na bamia sasa mapovu yanakutoka tu..KENGE M1WW
 
Bila sisi dunia ingejaa mashoga Mungu alijua hilo mapema,mtoto wa kiume umeshakula ugali wako na bamia sasa mapovu yanakutoka tu..KENGE M1WW
Sikuzote ukisikia kelele kwenye chumba cha sindano, ujue imeingia hiyo...
 
Wenzako wanakazana kuongeza Viwanja Na
Magari We Umekazana Kuongeza Tatoo Mwilini
Wenzako Wanakazana Kupanua Biashara Zao We
Unakazana Kuongeza Weupe Mwilini
Wenzako wanakazana kumtafuta Mungu We
unakazana kuonyesha mapaja na matiti yako Mwisho wa siku unakuja kuwaona wenzako
wachawi kumbe umejiroga wewe mwenyewe
Aisee sikuwez mweee ila kwenye tatooo mhhh
 
Back
Top Bottom