Wewe ndo umeniboa....!

Wewe ndo umeniboa....!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Hii tabia iko kwa wadada sana, ukimboa kwa chochote au kwa lolote lile solution anayoichukua ni kukaa kimya au kupunguza mawasiliano na wewe au atakwambia "tutaongea kesho!".

Ukiona hivyo kwa huyo dawa yake ni nini? Ni kumuacha mpaka hasira zake zipungue ama kumkata kwenye mawasiliano? ama kumwomba msamaha ama kuchukua hatua ya kubadilisha ulichomboa?

Pamoja na hayo bado anakwambia "tutaongea kesho, we hujui tu ...!"
 
Akiuchuna enda shamba ukalime, akifurahi nenda kavune........ mwisho wa siku utagundua kuwa no wastage of time on production. TIJA kwanza mapenzi baadae
Hii tabia iko kwa wadada sana, ukimboa kwa chochote au kwa lolote lile solution anayoichukua ni kukaa kimya au kupunguza mawasiliano na wewe au atakwambia "tutaongea kesho!".

Ukiona hivyo kwa huyo dawa yake ni nini? Ni kumuacha mpaka hasira zake zipungue ama kumkata kwenye mawasiliano? ama kumwomba msamaha ama kuchukua hatua ya kubadilisha ulichomboa?

Pamoja na hayo bado anakwambia "tutaongea kesho, we hujui tu ...!"
 
He he he, nicheke mie.

Naomba mtu anipostie signature ya Maskini Jeuri.
 
Back
Top Bottom