Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

Imba nakutengenezea beat kabsaa
 
Samahani kama nitaonekana niko rude au najifanya mjuaji ila naomba kuuliza ulishawahi kuona format ya movie script jinsi ilivyo, sababu hiyo ulioandika siyo script ni story tu
 
Hauna script za sinema za kingono? Ila kwenye hizo scenes siwataki Hamisa Mobetto na Giggy Money wala Wema Sepetu....namtaka Batuli tu kwa kila scene.
 
Samahani kama nitaonekana niko rude au najifanya mjuaji ila naomba kuuliza ulishawahi kuona format ya movie script jinsi ilivyo, sababu hiyo ulioandika siyo script ni story tu
Ndyo hiyo siyo script, ni story ila script poa naandika
 
Nimefurahi kwa hicho ulichokionyesha! Lakn kweny script ya filamu Kuna Mambo mengi kidogoo tofauti na uliyoiweka hapo!! Japo umejitahid sana...
* Kwanza:
Kuna script za aina tofauti kweny movie
1: Kuna script ya director
2: ya muigizani
3: ya kamera man
4: ya editor (Vfx na ile ya kawaida)
Hizo ni main tuu
Kuna main script ambayo huwa ni ndefu sana ndani yake imejumuisha vyote hivyoo...

Still Kuna vitu vingi tunakosea kweny tasnia hii, lakn Mungu akijaalia panapo siku tutaishi katika ndoto zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ