Wewe ni half-caste wa wapi na wapi...

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
Half-caste kama tunavyojua inatumika kama kitambulisho kwa mtu ambaye amezaliwa kutokana na wazazi kuwa wa utaifa au ukabila mbalimbali. Yaani unakuta baba mzungu mama mweusi, au baba mtu wa asili ya bara la asia mama mzungu. Au mama myahudi baba mtu mweusi. So mtoto apatikanae atajulikana kama half caste.

Hii inajumuisha pia kwa mtoto ambae wazazi wanatoka kwenye ethnic groups/makabila mbalimbali. Yaani mfano baba Mmasai mama mbena, baba mndengereko mama mmbulu, baba mngoni mama mchaga, baba mzulu mama mgogo n.k

So wewe ni half-caste wa wapi na wapi?
 
mimi half caste wa kikurya.

Baba mkurya, mama mkurya.

Hapo vipi nimepatia au?

Half caste inahusisha ethnic groups/makabila pia. Ingawa wewe wote ni kabila moja, so hautakuwa classified as on. Inabidi wawe ethnic groups/makabila tofauti.

It's all good though.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…