stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,750
Half-caste kama tunavyojua inatumika kama kitambulisho kwa mtu ambaye amezaliwa kutokana na wazazi kuwa wa utaifa au ukabila mbalimbali. Yaani unakuta baba mzungu mama mweusi, au baba mtu wa asili ya bara la asia mama mzungu. Au mama myahudi baba mtu mweusi. So mtoto apatikanae atajulikana kama half caste.
Hii inajumuisha pia kwa mtoto ambae wazazi wanatoka kwenye ethnic groups/makabila mbalimbali. Yaani mfano baba Mmasai mama mbena, baba mndengereko mama mmbulu, baba mngoni mama mchaga, baba mzulu mama mgogo n.k
So wewe ni half-caste wa wapi na wapi?