Wewe Ni Mchawi, Ila Hujijui Tu..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ukiona Umeachana na Mtu halafu Bado unamfuatilia-fuatilia,na mbaya zaidi Ukiona Ameanza Kudate halafu ana Furaha wewe unanuna ujue una dalili za kuwa mchawi,anza mafunzo ya Usangoma kabisa kwa Dokta Manyau-nyau kule Tandika. Si ulisema hakufai wewe?

Ukasema Sio Type yako???Ukasema yeye ni Gogo akiwa faragha hanesi-nesi wala hatikisiki?

Ukasema hana hata hela ya kukumiliki?? SASA UNAMFUATILIA WA NINI???

You are a Witchdoctor in the Making...
 
Oooook yule dada nae atakuwa ni mchawi asante kwa somo
 
ha ha wale mnaodivert sim na kuoverlap namba mnaona haitosh mnatumia na watu wakutongoza kabisaaaaaa
 
Ahahahahahahahahahahahaahjaaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…