Wewe Ni Mchawi, Ila Hujijui Tu..!!

Wewe Ni Mchawi, Ila Hujijui Tu..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ukiona Umeachana na Mtu halafu Bado unamfuatilia-fuatilia,na mbaya zaidi Ukiona Ameanza Kudate halafu ana Furaha wewe unanuna ujue una dalili za kuwa mchawi,anza mafunzo ya Usangoma kabisa kwa Dokta Manyau-nyau kule Tandika. Si ulisema hakufai wewe?

Ukasema Sio Type yako???Ukasema yeye ni Gogo akiwa faragha hanesi-nesi wala hatikisiki?

Ukasema hana hata hela ya kukumiliki?? SASA UNAMFUATILIA WA NINI???

You are a Witchdoctor in the Making...
 
ha ha wale mnaodivert sim na kuoverlap namba mnaona haitosh mnatumia na watu wakutongoza kabisaaaaaa
 
. Yule demu wangu nilokua namgonga tangu akiwa form two c nilimpiga chini mwaka huu baada ya KUMGONGA sanaa (toka 2011)

Miezi miwili ya mwanzo ile nilikua mchawi kweli..

Naingia account yake ya fb. Nasoma mesages anasoma chat na watu...
Nachek whatsapp kaweka status gani na profile (kuna cku aliweka profile ya li jamaa halafu akaweka emoji za love) Ebanaee karoho kalinichupwa chupwi chupwi....

Sasa hivi anaonekana hana smartphone, maana profile yake ile ile tangu Mwezi May..

Hivi mazee toka january atakua hajapata lijamaa lingine kweli????

#Chief Eng
Ahahahahahahahahahahahaahjaaj
 
Back
Top Bottom