Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Hello wana JF
Wale wafugaji wazoefu wa kuku wa kienyeji, mliowahi kufuga kuku hawa na wewe unaeendelea kufuga;
najua wewe ni mbunifu sana!
Hebu naomba tushirikishane namna/mbinu ya kutotolesha mayai kwa njia tofauti na incubators na kuku wenyewe!
Kizuri kula na mwenzio
Hilo wazo lako liweke hapa, linafaa sana
Ahsante.