Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Njia tofauti zipi? Incubator ndio njia sahihi ya kutotoleshea mayai ukiondoa Natural ways.Hello wana JF
Wale wafugaji wazoefu wa kuku wa kienyeji, mliowahi kufuga kuku hawa na wewe unaeendelea kufuga;
najua wewe ni mbunifu sana!
Hebu naomba tushirikishane namna/mbinu ya kutotolesha mayai kwa njia tofauti na incubators na kuku wenyewe!
Kizuri kula na mwenzio
Hilo wazo lako liweke hapa, linafaa sana
Ahsante.
asante sana. Mimi ni mfugaji na natambua uwepo wa incubator, lakini waliotengeneza hizi incubators nao walianza kwa kufikiri. incubator sio mwisho wa safari..Njia tofauti zipi? Incubator ndio njia sahihi ya kutotoleshea mayai ukiondoa Natural ways.
Sasa kama unataka kupiga hatua tafuta incubator acha kutafuta short cut then utataka ufanikowe kwa short cut,
I like your way of thinking...!asante sana. Mimi ni mfugaji na natambua uwepo wa incubator, lakini waliotengeneza hizi incubators nao walianza kwa kufikiri. incubator sio mwisho wa safari..
Bright wa TREE OF LIFE FOUNDATIONHello wana JF
Wale wafugaji wazoefu wa kuku wa kienyeji, mliowahi kufuga kuku hawa na wewe unaeendelea kufuga;
najua wewe ni mbunifu sana!
Hebu naomba tushirikishane namna/mbinu ya kutotolesha mayai kwa njia tofauti na incubators na kuku wenyewe!
Kizuri kula na mwenzio
Hilo wazo lako liweke hapa, linafaa sana
Ahsante.
Very safiiii!Kuna kipindi niliwahi kuona yputube jamaa flani anaelezea incubator ya kienyeji inayotumia pumba za mchele na chupa ya kaiwaida na vitu vingine kama thermometer n.k lakn sikufatilia saana maana nilihisi n kama clickbait ingine. Lakn ntaangalia zaidi.
Kwakweli mimi naona mtihani wa kwanza ni kulelea vifaranga, waweza totolesaha lakini kwenye malezi ikawa mtihani hapo napo tutaomba wazoefu watusaidie elimu kidogo.Hello wana JF
Wale wafugaji wazoefu wa kuku wa kienyeji, mliowahi kufuga kuku hawa na wewe unaeendelea kufuga;
najua wewe ni mbunifu sana!
Hebu naomba tushirikishane namna/mbinu ya kutotolesha mayai kwa njia tofauti na incubators na kuku wenyewe!
Kizuri kula na mwenzio
Hilo wazo lako liweke hapa, linafaa sana
Ahsante.
aaah mkuu, kulea ni simple sana !Kwakweli mimi naona mtihani wa kwanza ni kulelea vifaranga, waweza totolesaha lakini kwenye malezi ikawa mtihani hapo napo tutaomba wazoefu watusaidie elimu kidogo.
Amina mkuu tusaidie kidogo wafugaji wachangaaaah mkuu, kulea ni simple sana !
Je hatuwezi kutumia 'Ngono' kuzalisha mayai na mbegu bora ya kuku wa kisasa?!humu walio wengi tunajua kufanya utafiti wa ngono tu!!
Amina mkuu tusaidie kidogo wafugaji wachanga
safi sana kwa kujaribu, hebu iseme hyo mbinu huenda tukaiongezea mnofu. Usikae mbali Mkuu Bujibuji Simba NyamaumeNilishawahi tumia njia mbadala kutotolesha na nilifanikiwa lakini ni risk sana na pia inakuwa sio kwa idadi kubwa ya mayai
Mpe mbinu maana tayari kwa mbinu alizonazo amefeliaaah mkuu, kulea ni simple sana !
Mbinu gani hiyo? Hebu tupe, huenda kwa mawazo ya wengi tukazipunguza hizo risksNilishawahi tumia njia mbadala kutotolesha na nilifanikiwa lakini ni risk sana na pia inakuwa sio kwa idadi kubwa ya mayai
Ngono ni ndugu moja na kondom, kondom na uzazi ni sawa na mbingu na ardhi.Je hatuwezi kutumia 'Ngono' kuzalisha mayai na mbegu bora ya kuku wa kisasa?!
Wazi kabisa!Mbinu gani hiyo? Hebu tupe, huenda kwa mawazo ya wengi tukazipunguza hizo risks