Wewe ni mfugaji, Mdadisi na mbunifu?

hali ya soko ikoje kwa mazao yote ya kuku, tupe kinagaubaga mbinu yako ya kupata soko ikoje
 
ubunifu ni mzuri kwenye kutotolesha, lakini jiandae kuingia garama kubwa unapoacha njia ya asili ya utotoleshaji.

Wengi najua fika tunatafuta njia rahisi na isiyokuwa na garama ya kutotolesha, incubator za kisasa huwezi zikwepa.

Hizo picha hapo juu ni ukanjanja tu na time consuming, itakubidi ukae ukigeuza mayai mara kwa mara, umeme ukikatika roho juu, risk ya kutotoleshwa iko juu licha ya kuchambua mayai vizuri, huo siyo ufugaji bali ni kuishi na kuku.

Ufugaji wa kuku ni kuwekeza muda wako, tenegeneza kuku waatamiaji wazuri km huwezi nunua incubator yenye ubora. Tuache kutaka mserereko alafu tutegemee matokeo makubwa
 
Ka msereleko lazma kategemewe cha msingi kawe halali. hata incubators ni kamseleleko, kwani kuku alikuwa hawezi kutotoa mayai yake mwenyewe mpaka ibuniwe incubator? Kutaka kupata vifaranga 500 kwa siku 21 ni ndani ya kale kale ka msereleko.. Ok tunajaribu tu mkuu elimu haina mwisho!
 
hali ya soko ikoje kwa mazao yote ya kuku, tupe kinagaubaga mbinu yako ya kupata soko ikoje
Swala la soko kwangu ni kitu easy sana.. Vijana wanakuja kuchukua nyumban wala situmii nguvu yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…