S Sina mood JF-Expert Member Joined Nov 15, 2018 Posts 248 Reaction score 1,442 Feb 12, 2023 #1 Wengi mnaongopewa Kasuku ana uwezo wa kuongea huo ni uongo mkubwa Kasuku hawezi kuongea na haongei Mwingine atakuongopea Kasuku wako mdogo hajafika umri wa kuongea kimoyo moyo anakucheka
Wengi mnaongopewa Kasuku ana uwezo wa kuongea huo ni uongo mkubwa Kasuku hawezi kuongea na haongei Mwingine atakuongopea Kasuku wako mdogo hajafika umri wa kuongea kimoyo moyo anakucheka
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Feb 12, 2023 #3 Nlkua naamin huo ujinga😁😁
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Feb 12, 2023 #4 Kwahio huwa anafanyaje?Ninachojua sio kasuku aina zote wanaongea,na wanachofanya sio kuongea kama binadamu ila kwa sauti ya kindege anaweza kuiga maneno yanayotamkwa na akakariri
Kwahio huwa anafanyaje?Ninachojua sio kasuku aina zote wanaongea,na wanachofanya sio kuongea kama binadamu ila kwa sauti ya kindege anaweza kuiga maneno yanayotamkwa na akakariri
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Feb 12, 2023 #5 Dah mpaka muda huu najua hivyo