Aiseempira wa sodo wa mtaani peku peku football ila nikivaa viatu mpira wa adidas siwezi..na kucheza gololi na watoto na ukubwa wangu nikikutana na watoto wanacheza gololi naomba namba
Mimi ni John Cena hapa pia naweza kukupiga teke la sheamus na boxing zako[emoji1] [emoji1] [emoji23]mm boxing aisee ila ukiniona huwezi nidhania kwa kuwa muda wote nipo na furaha tu
mimi mkali wa pool tableWana jf salamu kwenu
Najua kila mtu atakuwa na kipaji cha mchezo flani hata mmoja taja ni mchezo gani ambao huwa unawaonea wenzako mkiwa mnacheza namaanisha huwa unawazidi ujanja wenzako binafsi mimi ni mkali wa kuruka sarakasi kwa kuwa ni mwepesi sana na huwa siogopi kuumia na pia huwa mkali wa kucheza karata mchezo wa lastcard
Ww mwana jf huwa ni mkali wa mchezo gani
Mimi Randy Orton Kiboko yako hehehehe.Mimi ni John Cena hapa pia naweza kukupiga teke la sheamus na boxing zako[emoji1] [emoji1] [emoji23]
Au nije tuzichape ulingoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni John Cena hapa pia naweza kukupiga teke la sheamus na boxing zako[emoji1] [emoji1] [emoji23]
Au nije tuzichape ulingoni
Mbona hauko kwenye list kule Wazee wa kubet[emoji12] [emoji12] [emoji12]King n master of betting muulize muhind hana hamu na mm
Ha ha ha ha unafikr lazma uwepo kwenye lile jukwaa kula hela ya muhind anapigwa kimya kimya na unakula faidaMbona hauko kwenye list kule Wazee wa kubet[emoji12] [emoji12] [emoji12]