Wewe ni mkali kwenye mchezo gani?

Wewe ni mkali kwenye mchezo gani?

KING 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,002
Reaction score
5,192
Wana jf salamu kwenu

Najua kila mtu atakuwa na kipaji cha mchezo flani hata mmoja taja ni mchezo gani ambao huwa unawaonea wenzako mkiwa mnacheza namaanisha huwa unawazidi ujanja wenzako binafsi mimi ni mkali wa kuruka sarakasi kwa kuwa ni mwepesi sana na huwa siogopi kuumia na pia huwa mkali wa kucheza karata mchezo wa lastcard

Ww mwana jf huwa ni mkali wa mchezo gani
 
mpira wa sodo wa mtaani peku peku football ila nikivaa viatu mpira wa adidas siwezi..na kucheza gololi na watoto na ukubwa wangu nikikutana na watoto wanacheza gololi naomba namba
 
Wana jf salamu kwenu

Najua kila mtu atakuwa na kipaji cha mchezo flani hata mmoja taja ni mchezo gani ambao huwa unawaonea wenzako mkiwa mnacheza namaanisha huwa unawazidi ujanja wenzako binafsi mimi ni mkali wa kuruka sarakasi kwa kuwa ni mwepesi sana na huwa siogopi kuumia na pia huwa mkali wa kucheza karata mchezo wa lastcard

Ww mwana jf huwa ni mkali wa mchezo gani
mimi mkali wa pool table
 
Mbona hauko kwenye list kule Wazee wa kubet[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ha ha ha ha unafikr lazma uwepo kwenye lile jukwaa kula hela ya muhind anapigwa kimya kimya na unakula faida
 
Back
Top Bottom