Hiii jaman hamna kingine kwa sasa zaidi ya sim da daftariTuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.
Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)
2. JF.
Ana usingizi huyoDuuuhhh umeisoma thread vizuri na ukaielewa lakini
View attachment 689088 View attachment 689087 PESA PESA PESA
Habari ya siku nyingi maadamWanangu na Pesa!
Tukiwa wawili inapendeza zaidi ila ukiwa peke yako inanoga sanaHiyo ya kwanza mkiwa wawili itapendeza zaidi....