Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

International News. Mi napenda kuangalia news za kimataifa. Natamani kama niwe na control room, yaani niwe na chumba kimoja kiwe na tv nyingi niweze kuangalia zote kwa wakati mmoja.Yaani screen hii Aljazeera hii CNN hapa NDTV24 hii BBC hapa SKY NEWS pale CCTV4 , FRANCE 24 huku EURONEWS , DWTV. nk.
 
1. Kampeni za #1
2. Kuangalia wapitanjia MLIMANI CITY
 
Wote mnaosema JF na smart phone zimewalevya inawapasa mkatafute maana halisi ya kilevi...
 
1. Kampeni za #1
2. Kuangalia wapitanjia MLIMANI CITY
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mapupu umeweka muajiri?
 
Music
-Books reading
-Researching
-Phone
-Social media insta, tweeter & jf
-Misambwanda huwa inanikosha
 
Kwa wanaosema simu.

Simu ina internet.

Internet ina websites.

Websites kuna ya bodybuilding forum.

Lakini kuna xvideos, pornhub, jamaicavids na world sex pia.

Ukiwa na watu simu yako inaingia bodybuilding forum.

Ukiwa peke yako simu yako inaingia xvideos & co.

Hoja yangu ni kua ukiwa na simu una advantage ya kufanya ujinga mwingi na dhambi nyingi kuliko usipokua nayo.

Mfano kuchepuka.

Ukichukua namba ya simu ya binti. Baada ya salamu ukamuuliza 'Umekula?' Akajibu 'Bado, wewe je?'

Unajua tayari hili ni bao la ushindi.

Text inayofuata ni 'Send nudes babe'

Natania...

Inayofuata ni 'Nataka nipike, weekend njoo unipe review ya upishi wangu'

Pia anayesema simu ni ulevi wake, inamaanisha pia..

Atajitenga ili apate muda na simu yake.

Hana mawasiliano mazuri na watu.

Atafanya nusu ya vitu ili kuivutia online community.

Poor communication skills.

It simply means, this person is antisocial.

Am out
Mkuu umechoma hadi kwenye mfupa.

Ngoja niugulie maumivu mdogomdogo
 
Back
Top Bottom