Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,013 Reaction score 1,183 Jan 27, 2020 #1 Unaweza kufanya chochote hapa duniani na ukafanikiwa. "Kila siku kabla ya jua kuzama samehe wote waliokukosea ikiwemo na wewe mwenyewe, ukiamka kabla jua kuchomoza itakase siku yako na jitamkie baraka uzitakazo" Fanya hivyo kila siku usiache.
Unaweza kufanya chochote hapa duniani na ukafanikiwa. "Kila siku kabla ya jua kuzama samehe wote waliokukosea ikiwemo na wewe mwenyewe, ukiamka kabla jua kuchomoza itakase siku yako na jitamkie baraka uzitakazo" Fanya hivyo kila siku usiache.
Gachuma jr JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 839 Reaction score 451 Jan 27, 2020 #2 Aisee sawa kabisa.....Ameen Sent using Jamii Forums mobile app
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,514 Reaction score 15,050 Jan 27, 2020 #3 Sawa motivational speaker Sent using Jamii Forums mobile app