Naked
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 293
- 805
mdada kama una bwana ni muendesha magari yaani fuso zinazo toka nje ya nchi na kila akienda kupeleka mzigo nje na wewe unaenda kujifanya unapenda sana wakati uho mwezio jicho lake kwako ni kwa tamaa za mwili anakuona kama mtoa huduma siku huduma yako ikiisha au akiona imekuwa mbaya anatafuta mwingine na atasafiri nae bila wewe kujua kataa waendesha mafuso hao watu wanaowapenda wanawaacha nyumbani wanapumzika wewe ndio upo nginja nginja kwenye fuso unaacha kutulia kwako hupendwi