wewe ni mwanamke mweusi?

wewe ni mwanamke mweusi?

Nascoba

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
310
Reaction score
160
mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 30,natafuta girl friend mwenye sifa zifuatazo:
Umri asizidi miaka 40,
Dini yeyote
Kabila lolote
Awe mweusi na kama ni weupe sharti uwe wa asili.
Awe mwenye kuamini uwepo wa mungu.
Kuhusu ndoa tutapanga baada ya kuridhiana.mwenye kuwa tayari anipm.
Nb:ukiona mawasiliano yanalegalega niko igunga nasafiri kwenda burundi mara moja.
 
Acha ubaguzi wa rangi ndugu!!
 
Acha ubaguzi wa rangi ndugu!!

Si ubaguzi ndugu yangu nachukia sana mtu asiejua thamani na uzuri wa weusi na badala yake anatafuta weupe dukani,kama weupe ni wa asili sina neno.
 
Hahhahha wifi acha kunichomoa mbavu, inamaana kile cheo mlichonipa na Nascoba ni fake hahahaha

Yaani Wifi yangu ondoa shaka na hofu Moyoni mwako.
Cheo chako kiko palepale.
Nakitunza kama mboni yangu.
Yani Lady G,usiwe na haraka,c unajua mambo taratibu?
Kaka'ko mwenyewe amesafiri,mpaka arudi.
 
hebu muulize destiny1 kama hajajichubua, naona mtamatch, japo mume wake @Pokolo kaibuka kudai yule ni mkewe na hawajaachana, ila hebu jaribu bahati. lol! i like this forum!
 
Nakushukuru kwa kuonyesha nia lakini nasikitika kukuarifu kwamba tayari nimebahatika kumpata madame B,
Asante sana.
Teh teh nimepata shushu hahah! Anyways hongera n wishn u luck
 
Watu wanatafutana kweli siku hizi haya all the best kwenye mchakato
 
Yaani Wifi yangu ondoa shaka na hofu Moyoni mwako.
Cheo chako kiko palepale.
Nakitunza kama mboni yangu.
Yani Lady G,usiwe na haraka,c unajua mambo taratibu?
Kaka'ko mwenyewe amesafiri,mpaka arudi.

hihihihih kweli wifi yangu we ni wamujini, kaka akiondoka .............hhaahah
 
hihihihih kweli wifi yangu we ni wamujini, kaka akiondoka .............hhaahah

Tena wa palepale katikati ya Jiji.
Hapana bhana,kaka'ko akiondoka...
...wifi yako natulia tuli kama maji ya mtungini.
 
Back
Top Bottom