Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Jielezee bila kutaja jina lako wala kazi yako wala shughuli unayoifanya.
Me naanza mimi ni mtu mwenye upendo sana.
Wewe je?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jielezee bila kutaja jina lako wala kazi yako wala shughuli unayoifanya.
Me naanza mimi ni mtu mwenye upendo sana.
Wewe je?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikajua wewe ndo coro..n.a😂Mganga mchawi mlozi toka Msata
Jr[emoji769]
Nikajua wewe ndo coro..n.a[emoji23]
Bora leo umejitaja mchawi wewe na utakoma kwa utambulisho huu[emoji23]
Nitakuita jina lako lile jengine[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Jr[emoji769]
Jielezee bila kutaja jina lako wala kazi yako wala shughuli unayoifanya.
Me naanza mimi ni mtu mwenye upendo sana.
Wewe je?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanijuaa???Dogo una madharau sana wewe. Nashangaa eti umekuja hapa jf kujimwambafayi na wakati shule nzima wanakujua kwa dharau zako na majivuno.[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app