Wewe ni nani?

Wewe ni nani?

hv jiwe ana undugu na wanyalu eeeh? mana naona anawaelewa sana
Mimi ni Mdogo wake jiwe(tumbo moja)ila maisha yamenipiga sana huku itulavanu kwakuwa kanitelekeza kama bwana mkapa alivyomtelekeza yule kaka yake aliyekuwa anaishi mwananyamara wakat yeye Ben akilala magogoni.

Maholangumbi 27/10/1992#Sitosahau&nitaludi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi kweli kweli, hadi hizi siku za 'karantini' ziishe tutashuhudia mengi humu.
 
Bado tunakuhitaji mtaani

TISS wapo wengi sana humu ndo maana nililala mahabusu

Back
Top Bottom