King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
hv jiwe ana undugu na wanyalu eeeh? mana naona anawaelewa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni Mdogo wake jiwe(tumbo moja)ila maisha yamenipiga sana huku itulavanu kwakuwa kanitelekeza kama bwana mkapa alivyomtelekeza yule kaka yake aliyekuwa anaishi mwananyamara wakat yeye Ben akilala magogoni.
Maholangumbi 27/10/1992#Sitosahau&nitaludi.
Sent using Jamii Forums mobile app