Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 393
Apana Mkuu nikujiamuliaUna maisha mazuri sana.
Naona kwenye ratiba yako hauna muda wa kushika kichwa na kuwaza na kuwazua.
Hadi kuwaza kuna ratiba yake!?Una maisha mazuri sana.
Naona kwenye ratiba yako hauna muda wa kushika kichwa na kuwaza na kuwazua.
Hizo mali unazosubiri mwizi aziibe au aziharibu ni za nani?Nimenoa panga nimekaa nalo standby nasubiri nyumbu yoyote mwizi na muharibifu wa mali atoke barabarani kwa kisingizio cha maandamano ya amani kumbe wahalifu wakubwa nimtembezee kichapo
Mbona hakuna kipengele cha bia mkuu. Hautumii!🥹Wakuu inakuwaje, Ratiba zenu zipoje.
Mimi ya kwangu inaendana na kazi yangu, asubuhi tunaingia mazoezini baada ya hapo kumwagilia bustani pamoja na kulisha kuku.
Nikitoka hapo najiandaa kuingia kazini jioni tena kulingana na kazi yangu naingia mazoezini.
Baada ya hapo Kuna kazi online mpka saa 4, baada ya hapo huwa nalala huwa nachoka sana. Kuamka saa 11:00 nafanya ibada then ratiba inaendelea.
Wewe ratiba yako ipoje?
HahahaNimenoa panga nimekaa nalo standby nasubiri nyumbu yoyote mwizi na muharibifu wa mali atoke barabarani kwa kisingizio cha maandamano ya amani kumbe wahalifu wakubwa nimtembezee kichapo