henrykilenga
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 294
- 297
[emoji3][emoji3][emoji3]Inapendeza sana...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... wapo watakaosema hii ni ID yangu nyingine...
Cc: mahondaw
umetilia maanani swala la kujimwambafai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wanabisha kwa kujimwambafai
Unataka kusema wamekuja na kiki au/??,[emoji3][emoji3]Kati ya ww na yeye ni nani mmiliki wa hii id iliyoleta mada?
Nimeona nikupe like ya 50[emoji23][emoji23] Ngoja aje kukupa mwongozo.
Cc mahondaw
ndio maana nakupenda sana kigori. Naumia sana uko mbali basi tu.Nimeona nikupe like ya 50
Njoo basi jamanindio maana nakupenda sana kigori. Naumia sana uko mbali basi tu.
HahahahaJamani Kuna watu mna nongwa mpaka kwa watu msiowajuaaaaaa,
Tatizo binadamu wabishi sana
Cc mapikipiki
[emoji23][emoji23] Ngoja aje kukupa mwongozo.
Cc mahondaw
Tatizo binadamu wabishi sana
Cc mapikipiki
[emoji3][emoji3]jamani ndiyo style yake
Inasikitisha sana
Cc mahondaw
Ulipotelea wapi?Hahaa
Nawe sio lazima usome comment zake kama ambavyo unataka isiwe lazma yeye kuchangia.Habari wakuu.
Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa.
Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya maneno haya "ngoja waje" au "ngoja waje kukupa mwongozo".
Hivi huna shughuli za kufanya au ndio kati ya wale wenye IQ ndogo mno.
Jirekebishe mkuu kama huna cha kuchangia waweza kupiga kimya.
Najua kuwa bando ni lako, device ni yako na muda ni wako, ila jaribu kukua.
Muwe na usiku mwema