Wewe smart911 sio lazima kila thread uchangie

Wewe smart911 sio lazima kila thread uchangie

Huyu kijana na mwenzake anaonekana mstaarabu asiependa magomvi...nadra kuona kagombana au kuzoza yeye ni kama joseverest enzi zake ni kumcc mahondaw basi baada ya koment fupi.

Sistaajabu hata huku kitaa mtu au jirani anaweza kukuchukia ule uwepo wako tu...wanatamani kusikia umekufa
 
Habari wakuu.

Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa.

Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya maneno haya "ngoja waje" au "ngoja waje kukupa mwongozo".

Hivi huna shughuli za kufanya au ndio kati ya wale wenye IQ ndogo mno.

Jirekebishe mkuu kama huna cha kuchangia waweza kupiga kimya.

Najua kuwa bando ni lako, device ni yako na muda ni wako, ila jaribu kukua.

Muwe na usiku mwema
Nawe sio lazima usome comment zake kama ambavyo unataka isiwe lazma yeye kuchangia.
 
Back
Top Bottom