Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Acha waje
Mambo yao waachieni wenyewe
Tatizo binadamu ni wabishi sana
Cc Mahondaw
Ulipotelea wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Ngoja aje kukupa mwongozo.
Cc mahondaw
Huyu kijana na mwenzake anaonekana mstaarabu asiependa magomvi...nadra kuona kagombana au kuzoza yeye ni kama joseverest enzi zake ni kumcc mahondaw basi baada ya koment fupi.
Sistaajabu hata huku kitaa mtu au jirani anaweza kukuchukia ule uwepo wako tu...wanatamani kusikia umekufa
Nani ni mwanamke kati ya hao mahonda na smart...
Ngoja aje kukupa muongozo.... Smart ndye handsome wa mahondaw bana[emoji3]Nani ni mwanamke kati ya hao mahonda na smart...
mi siwaelewagi kabisa af kila thread wanatagiana hata za kipuuzi wanaonekana wako close kinoma hawana siriNilitaka uliza hivyo hivyo. Ukiangalia Avatar zinamix. Zamani nilijua ni ID multiple ila nahisi sio.
Hafu jamaa yupo kila jukwaa.
Alete mwongozo kweli wahuni waanze kummendea huyo wa kikeNgoja aje kukupa muongozo.... Smart ndye handsome wa mahondaw bana[emoji3]
Cc mahondaw