Wewe smart911 sio lazima kila thread uchangie

Wewe smart911 sio lazima kila thread uchangie

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]dah huenda ndo Kaz hyo ashajipa
 
Hahahaha. ... hawa jamaa wavumilivu sana sio kwa maudhi ya humu
Huyu kijana na mwenzake anaonekana mstaarabu asiependa magomvi...nadra kuona kagombana au kuzoza yeye ni kama joseverest enzi zake ni kumcc mahondaw basi baada ya koment fupi.

Sistaajabu hata huku kitaa mtu au jirani anaweza kukuchukia ule uwepo wako tu...wanatamani kusikia umekufa
 
Back
Top Bottom