Wewe UDOM Soma Hapa Fasta!

Wewe UDOM Soma Hapa Fasta!

oya kuna jamaa zangu wamepangwa udom wananiuliza nashindwa wajib..kwan first year mnareport lin??? msaada mkaka!!

pesa zilipwe kabla ya September 30th ambapo hapo ndio usajiri utaanza rasmi, pia inasemekana academic year kuanza 2nd week of October so orientation course itawahi kuanza kabla ya 2nd week, binafsi naenda September 28th,pia tusubiri admission latters itakua na full information, nilipata ntakustua
 
Duh,mtakaopata joining instructio mziscan na kuzitupia humu kwa faida ya tuliopo mbal
 
it doesn't work like that man!! kila mtu atapata admission yake binafsi kwa kutumia his/her form 4 index number, so admission latter ni mali ya mtu binafsi.
 
pesa zilipwe kabla ya September 30th ambapo hapo ndio usajiri utaanza rasmi, pia inasemekana academic year kuanza 2nd week of October so orientation course itawahi kuanza kabla ya 2nd week, binafsi naenda September 28th,pia tusubiri admission latters itakua na full information, nilipata ntakustua

kwenye gazeti la nipashe wametoa tangazo kwamba 1st year wanafungua tar 13 na wengne tar 20 october
 
pesa zilipwe kabla ya September 30th ambapo hapo ndio usajiri utaanza rasmi, pia inasemekana academic year kuanza 2nd week of October so orientation course itawahi kuanza kabla ya 2nd week, binafsi naenda September 28th,pia tusubiri admission latters itakua na full information, nilipata ntakustua
poa poa bro!! thnx alot...
 
it doesn't work like that man!! kila mtu atapata admission yake binafsi kwa kutumia his/her form 4 index number, so admission latter ni mali ya mtu binafsi.

kwa hiyo tutazipata kwenye mtandao?na huwa zinatoka baada ya mkopo au inakuaje?
 
Kuna taarifa ya kuaminika kuhusu Joining kuwa soon zitapatikana ALIS, Na pia zitatumwa nyingine mikoani kuanzia Tarehe 8/9. Kuhusu ufunguaji wa chuo ni wiki ya pili ya mwez wa 10 hata hivyo tarehe kamili ya lini orientation inaanza itaelezwa kwenye joining au endapo watabadili ile University Almanac ya UDOM.

Kuhusu NHIF kwa kweli bado ni mkanganyiko. Kulikuwa na utaratibu kuwa watu wote wenye kadi za bima ya afya walitakiwa wachangie 100000 sawa na wale ambao hawana kadi hizo. Migomo iliyokuwa ikitokea UDOM moja ya sababu za migomo hiyo ni hii ya pesa ya afya kwa wenye bima. sasa nadhani chuo kimeamua kubadili utaratibu wake, badala yake kinawataka wanachuo kujiunga na mfuko wa bima ya afya. Tatizo hapa ni kwamba hakuna utaratibu wa kueleweka wa namna ya kujiunga na mfuko huu. Nitajaribu kuchungulia tundu flani hivi, nikipata taarifa kutoka hicho chanzo nitaziweka kwenye post ile ya USHAURI WA BURE KWA WAENDAO UDOM, hapa hapa jukwaa la elimu- JF
 
Aisee mkuu ubarikiwe sana, tatizo ni joining instructions ndo hola mpaka sasa ALIS haifunguki

usiogope kijana!! Kuna information mbili kuna moja kua tulipe Medical capitation 100k na hii tena, wacha tusubiri joining instructions tuone inakuaje

Tembeleeni hapa:Huduma kwa Wanachuo

makole naona huyu samrich anajichanganya 2....... ww ukipata maiformation 2julishe mkuu.....

oya kuna jamaa zangu wamepangwa udom wananiuliza nashindwa wajib..kwan first year mnareport lin??? msaada mkaka!!

ebu 2saidie hapo kwenye national health insurance fund cjapaelewa
 
kwa hiyo tutazipata kwenye mtandao?na huwa zinatoka baada ya mkopo au inakuaje?

kuhudu kutoka kabla ama baada ya mkopo hilo sifahamu. admission latter zitapatikana mtandaoni just kua unatembelea website ya chuo mara kwa mara
 
joining hutoka kabla ya mkopo
 
Back
Top Bottom