oya kuna jamaa zangu wamepangwa udom wananiuliza nashindwa wajib..kwan first year mnareport lin??? msaada mkaka!!
Duh,mtakaopata joining instructio mziscan na kuzitupia humu kwa faida ya tuliopo mbal
pesa zilipwe kabla ya September 30th ambapo hapo ndio usajiri utaanza rasmi, pia inasemekana academic year kuanza 2nd week of October so orientation course itawahi kuanza kabla ya 2nd week, binafsi naenda September 28th,pia tusubiri admission latters itakua na full information, nilipata ntakustua
kwenye gazeti la nipashe wametoa tangazo kwamba 1st year wanafungua tar 13 na wengne tar 20 october
poa poa bro!! thnx alot...pesa zilipwe kabla ya September 30th ambapo hapo ndio usajiri utaanza rasmi, pia inasemekana academic year kuanza 2nd week of October so orientation course itawahi kuanza kabla ya 2nd week, binafsi naenda September 28th,pia tusubiri admission latters itakua na full information, nilipata ntakustua
Nipashe ya lini kaka?
it doesn't work like that man!! kila mtu atapata admission yake binafsi kwa kutumia his/her form 4 index number, so admission latter ni mali ya mtu binafsi.
Aisee mkuu ubarikiwe sana, tatizo ni joining instructions ndo hola mpaka sasa ALIS haifunguki
usiogope kijana!! Kuna information mbili kuna moja kua tulipe Medical capitation 100k na hii tena, wacha tusubiri joining instructions tuone inakuaje
makole naona huyu samrich anajichanganya 2....... ww ukipata maiformation 2julishe mkuu.....
oya kuna jamaa zangu wamepangwa udom wananiuliza nashindwa wajib..kwan first year mnareport lin??? msaada mkaka!!
ebu 2saidie hapo kwenye national health insurance fund cjapaelewa
kwa hiyo tutazipata kwenye mtandao?na huwa zinatoka baada ya mkopo au inakuaje?