4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Kwema wana wa Mungu JF , amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake, lakini atawale sana dhehebu la islamic, nawapenda na Mungu akawainuie kila mmoja kwa imani yao.
Leo nipo hapa kwa ajiri ya mtu mmoja, mnafiki, mzandiki, na mjinga wa kutupa na ufupi wake japo ufupi sio dhambi bali ni malengo ya Bwana kutudhibishia kati walio na neema ya Bwana na ambao hawana bali kulazimisha tu.
Bwana anasema wewe ujiitae mchungaji katika meza ya Bwana huku ukishiriki maovu, atakuvua nguo, utakua uchi na uzee wako kwa kumkubatia shetani katika kichaka cha Bwana alie hai, tubu we mzee na rudi msalabani mbele za Mungu, acha kulamba midomo kama wala tangawizi, asema Bwana.
Upo na miaka mingapi imebakia duniani? Jijibu mwenyewe.
Mfano wa mzee ajiitaye ANANJA , wenda ni moja ya wazee kama sio wachungaji nchini kwetu, Mungu anatakiwa kufanya jambo mapema sana kabla ya kuendelea haribu Taifa, mchango wao wazee kwa sasa nchini zero kabisa.
Note
Ujumbe huu uwafikìe wazee wote Tanzania nzima bila msahau Hananja