Mie ndio nadhani nilikuzidi kwa kelele. Nasikia siku moja mie nilikuwa sipo shuleni, mwalimu alikuwepo darasani but watu wakawa wanapiga kelele za chinichini, wanasema mwalimu bila kuinua kichwa aone wapiga kelele, yeye alifoka kwa sauti kubwa "WEEE E.. ACHA KELELE" hahahahaahh, E ni herufi ya mwanzo ya jina langu na hali sikuwepo. haahahahahaMi nlikua mpiga kelele maarufu,majina ya wapiga kelele yakiandikwa sikosi.Mpaka monitress na monitor wakalizoea jina langu hata nisipokuwepo naandikwa jina
we mkaliIzi ukiwa na hichi kipicha chake utapendeza zaidiView attachment 746307
Alafu wakali wa soccer tukutane hapa
Kwa sahizi mimi ni mtu asie julikana..mkuu ww ni incredible asee
aah ulikuwa concodi wweMie ndio nadhani nilikuzidi kwa kelele. Nasikia siku moja mie nilikuwa sipo shuleni, mwalimu alikuwepo darasani but watu wakawa wanapiga kelele za chinichini, wanasema mwalimu bila kuinua kichwa aone wapiga kelele, yeye alifoka kwa sauti kubwa "WEEE E.. ACHA KELELE" hahahahaahh, E ni herufi ya mwanzo ya jina langu na hali sikuwepo. haahahahaha
Nilikua mkula chabo kwa wadada, sikuzile tulitumia kioo kuangusha sakafuni...[emoji12] [emoji12]ulikuwa mwiz nini[emoji16][emoji16][emoji16]
mmh ebana umetishamtoro nambari wani
mimi na rafiki yangu Rehema unaeza kuta siku nyingine mapemaaaa tunatoroka kwenda kwa ma mdogo wale au ndugu yangu na kudanganya tumerudishwa Ada au leo ni michezo hakuna inshu... basi tunakaa tunaangalia TV weee tunakula ikifika muda wa wanafunzi wote kutoka nasisi hapooooo tunaenda kila mmoja kwao.. ijumaa kipindi cha general cleanliness ndo Ilikua kasheshe humkamati mtuuuu
cc Smart911