Wewe ulikua yupi?

Wewe ulikua yupi?

Machmadem

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2017
Posts
758
Reaction score
936
habr wana jamvi

hii inatukumbusha mbali sana watk tukiwa
darasani kila darasa lilikua na watu kama hawa

mchoraji

wapenzi

sister du wa darasa

waimbaji

joni kisomo

manunda

watoro

wambea

bingwa wa kugelezea

mkali wa socker

back benchers

mimi nakumbuka nilikua nunda hasa nili
pendelea kuchokoza jamaa kwa kuwapiga na karatasi ww ulikuwa yup?
 
mtoro nambari wani
mimi na rafiki yangu Rehema unaeza kuta siku nyingine mapemaaaa tunatoroka kwenda kwa ma mdogo wale au ndugu yangu na kudanganya tumerudishwa Ada au leo ni michezo hakuna inshu... basi tunakaa tunaangalia TV weee tunakula ikifika muda wa wanafunzi wote kutoka nasisi hapooooo tunaenda kila mmoja kwao.. ijumaa kipindi cha general cleanliness ndo Ilikua kasheshe humkamati mtuuuu

cc Smart911
 
Izi ukiwa na hichi kipicha chake utapendeza zaidi
tapatalk_1522215763797.jpeg

Alafu wakali wa soccer tukutane hapa
 
Mpiga kelele, namba moja mtihani wa Hisabati na English.

Kila neno la kiingereza naulizwa mimi.
 
Mi nlikua mpiga kelele maarufu,majina ya wapiga kelele yakiandikwa sikosi.Mpaka monitress na monitor wakalizoea jina langu hata nisipokuwepo naandikwa jina
Mie ndio nadhani nilikuzidi kwa kelele. Nasikia siku moja mie nilikuwa sipo shuleni, mwalimu alikuwepo darasani but watu wakawa wanapiga kelele za chinichini, wanasema mwalimu bila kuinua kichwa aone wapiga kelele, yeye alifoka kwa sauti kubwa "WEEE E.. ACHA KELELE" hahahahaahh, E ni herufi ya mwanzo ya jina langu na hali sikuwepo. haahahahaha
 
aah ulikuwa concodi wwe
 
mtoro nambari wani
mimi na rafiki yangu Rehema unaeza kuta siku nyingine mapemaaaa tunatoroka kwenda kwa ma mdogo wale au ndugu yangu na kudanganya tumerudishwa Ada au leo ni michezo hakuna inshu... basi tunakaa tunaangalia TV weee tunakula ikifika muda wa wanafunzi wote kutoka nasisi hapooooo tunaenda kila mmoja kwao.. ijumaa kipindi cha general cleanliness ndo Ilikua kasheshe humkamati mtuuuu

cc Smart911
mmh ebana umetisha
 
Back
Top Bottom