heshima kwako mkuuIzi ukiwa na hichi kipicha chake utapendeza zaidiView attachment 746307
Alafu wakali wa soccer tukutane hapa
Hapo ulikuwa darasa la ngapi?mtoro nambari wani
mimi na rafiki yangu Rehema unaeza kuta siku nyingine mapemaaaa tunatoroka kwenda kwa ma mdogo wale au ndugu yangu na kudanganya tumerudishwa Ada au leo ni michezo hakuna inshu... basi tunakaa tunaangalia TV weee tunakula ikifika muda wa wanafunzi wote kutoka nasisi hapooooo tunaenda kila mmoja kwao.. ijumaa kipindi cha general cleanliness ndo Ilikua kasheshe humkamati mtuuuu
cc Smart911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna watu tuna vipaji,yani mi sikuwahi kukosa kwenye list ya wapiga kelele jaman[emoji23] eti we E acha kelele hahaa mwalim alikaririMie ndio nadhani nilikuzidi kwa kelele. Nasikia siku moja mie nilikuwa sipo shuleni, mwalimu alikuwepo darasani but watu wakawa wanapiga kelele za chinichini, wanasema mwalimu bila kuinua kichwa aone wapiga kelele, yeye alifoka kwa sauti kubwa "WEEE E.. ACHA KELELE" hahahahaahh, E ni herufi ya mwanzo ya jina langu na hali sikuwepo. haahahahaha
Sekondari ni raha zaidi,primary mi nlikua katoto na uoga wa kuchapwa,japo kelele naona nimezaliwa nazo[emoji23]Majina ya watoro
Wasio fanya usafi
Wapga kelele
Mpiga chabo somo la mathematics
Huko kote Kila sku nlikua
Nawekwa Kila sku
Aiseee Ila primary school n
Tamu jaman Aachen tu
Haaa haaa haaa huko n nomaSekondari ni raha zaidi,primary mi nlikua katoto na uoga wa kuchapwa,japo kelele naona nimezaliwa nazo[emoji23]
Sekondari buaaaaaana hehehee ni balaa
ndo maana[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna watu tuna vipaji,yani mi sikuwahi kukosa kwenye list ya wapiga kelele jaman[emoji23] eti we E acha kelele hahaa mwalim alikariri
hahaahhahh, tena nasikia alikuwa ameinama tu hata hakunyanyua kichwa kuona wapiga kelele,, hahahahahaahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna watu tuna vipaji,yani mi sikuwahi kukosa kwenye list ya wapiga kelele jaman[emoji23] eti we E acha kelele hahaa mwalim alikariri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha hapo kwenye kuiba kalamu na rula za watu mimi na sis wangu ndo zilikuwa kazi zetu tunaiba tunapitisha mabegi dirishani alafu tunatoroka.Darasa la tatu tulianzisha kamchezo ka kuwachungulia papuchi wasichana... Siku moja tukashtakiwa na kidhibiti (kioo) kikafika kwa mwl mkuu msaidizi!!! Tulishushiwa mvua ya stick hadi kukaa ikashindikana, wiki nzima tulikuwa tunasimama tu na kulala kwenye madawati. Nyumbani niliogopa kusema nikajikaza kisabuni. Tulikuwa masela wanne, I was 9 kipindi hicho.
Tukahamia kwenye mchezo wa kuiba kalamu darasani, kwa siku tunaliza zaidi ya nusu darasa, siku tatu tu tukaishia mikononi mwa ticha mmoja muhuni kinyama! Jamaa lilitupiga karate kama linapambana na Van Dame na Bruce Lee. Ticha Marwa popote ulipo Mungu anakuona[emoji30] [emoji30]