Wewe ulikua yupi?

Wewe ulikua yupi?

mtoro nambari wani
mimi na rafiki yangu Rehema unaeza kuta siku nyingine mapemaaaa tunatoroka kwenda kwa ma mdogo wale au ndugu yangu na kudanganya tumerudishwa Ada au leo ni michezo hakuna inshu... basi tunakaa tunaangalia TV weee tunakula ikifika muda wa wanafunzi wote kutoka nasisi hapooooo tunaenda kila mmoja kwao.. ijumaa kipindi cha general cleanliness ndo Ilikua kasheshe humkamati mtuuuu

cc Smart911
Hapo ulikuwa darasa la ngapi?
 
Majina ya watoro
Wasio fanya usafi

Wapga kelele
Mpiga chabo somo la mathematics

Huko kote Kila sku nlikua
Nawekwa Kila sku

Aiseee Ila primary school n
Tamu jaman Aachen tu
 
Darasa la tatu tulianzisha kamchezo ka kuwachungulia papuchi wasichana... Siku moja tukashtakiwa na kidhibiti (kioo) kikafika kwa mwl mkuu msaidizi!!! Tulishushiwa mvua ya stick hadi kukaa ikashindikana, wiki nzima tulikuwa tunasimama tu na kulala kwenye madawati. Nyumbani niliogopa kusema nikajikaza kisabuni. Tulikuwa masela wanne, I was 9 kipindi hicho.

Tukahamia kwenye mchezo wa kuiba kalamu darasani, kwa siku tunaliza zaidi ya nusu darasa, siku tatu tu tukaishia mikononi mwa ticha mmoja muhuni kinyama! Jamaa lilitupiga karate kama linapambana na Van Dame na Bruce Lee. Ticha Marwa popote ulipo Mungu anakuona[emoji30] [emoji30]
 
Nilikuwa mpiga kelele maarufu/mtuwafujo.walimu kunikomoa wakanipa umonitor,walijua watakua wamenipatia.Nakumbuka ulidumu kwa masaa machache baada darasa kulifanya soko,maana hizo kelele zake hazikuwa na mfano.Mwalimu mkuu akaja kwa hasila hatahakuuliza wakinanani walikuwa wanapiga kelele.akatengua uteuzi.
 
Mimi nilikua mchoraji yani wasichana lazima wapange foleni kwa ajili ya kuchorewa na nlikua nawachagua wazuri wazuri
 
Mie ndio nadhani nilikuzidi kwa kelele. Nasikia siku moja mie nilikuwa sipo shuleni, mwalimu alikuwepo darasani but watu wakawa wanapiga kelele za chinichini, wanasema mwalimu bila kuinua kichwa aone wapiga kelele, yeye alifoka kwa sauti kubwa "WEEE E.. ACHA KELELE" hahahahaahh, E ni herufi ya mwanzo ya jina langu na hali sikuwepo. haahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna watu tuna vipaji,yani mi sikuwahi kukosa kwenye list ya wapiga kelele jaman[emoji23] eti we E acha kelele hahaa mwalim alikariri
 
Majina ya watoro
Wasio fanya usafi

Wapga kelele
Mpiga chabo somo la mathematics

Huko kote Kila sku nlikua
Nawekwa Kila sku

Aiseee Ila primary school n
Tamu jaman Aachen tu
Sekondari ni raha zaidi,primary mi nlikua katoto na uoga wa kuchapwa,japo kelele naona nimezaliwa nazo[emoji23]

Sekondari buaaaaaana hehehee ni balaa
 
Sekondari ni raha zaidi,primary mi nlikua katoto na uoga wa kuchapwa,japo kelele naona nimezaliwa nazo[emoji23]

Sekondari buaaaaaana hehehee ni balaa
Haaa haaa haaa huko n noma
Af enz hzo watu n wakubwa co now
Kuna vitoto vdgo yan unaweza sema havikui
 
Back bencher ambaye sifahamiki na walimu na baadhi ya wanafunzi pia
 
nlikuwa mkali wa soka, tokea primary, sec, advance, chuo,

kote huko nlikiwa moto wa kuotea mbali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna watu tuna vipaji,yani mi sikuwahi kukosa kwenye list ya wapiga kelele jaman[emoji23] eti we E acha kelele hahaa mwalim alikariri
hahaahhahh, tena nasikia alikuwa ameinama tu hata hakunyanyua kichwa kuona wapiga kelele,, hahahahahaahahaa
 
Darasa la tatu tulianzisha kamchezo ka kuwachungulia papuchi wasichana... Siku moja tukashtakiwa na kidhibiti (kioo) kikafika kwa mwl mkuu msaidizi!!! Tulishushiwa mvua ya stick hadi kukaa ikashindikana, wiki nzima tulikuwa tunasimama tu na kulala kwenye madawati. Nyumbani niliogopa kusema nikajikaza kisabuni. Tulikuwa masela wanne, I was 9 kipindi hicho.

Tukahamia kwenye mchezo wa kuiba kalamu darasani, kwa siku tunaliza zaidi ya nusu darasa, siku tatu tu tukaishia mikononi mwa ticha mmoja muhuni kinyama! Jamaa lilitupiga karate kama linapambana na Van Dame na Bruce Lee. Ticha Marwa popote ulipo Mungu anakuona[emoji30] [emoji30]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha hapo kwenye kuiba kalamu na rula za watu mimi na sis wangu ndo zilikuwa kazi zetu tunaiba tunapitisha mabegi dirishani alafu tunatoroka.
 
Back
Top Bottom