Wewe ulikua yupi?

Wewe ulikua yupi?

Mchoraji mzuri hadi leo nawafanyia manuva watoto wangu home wakati tukifanya homework inayohusiana na kuchora.
 
Hahaaha daah sio mchezo nilikua na rafiki yangu alirusha baruti moja imetengenezwa na choki ya pikipiki huku imefungwa manyoya ya kuku.

Stori ilikua kuna ticha wa hesabu alikua mnaa sasa akatupiwa hiyo baruti akiwa anatembea kwenye korido akielekea darasani, Kilichotokea hapo acha tu kwani alienda kwa mwalimu mkuu kwamba katupiwa bomu hahahaaha.
 
Hahaaha daah sio mchezo nilikua na rafiki yangu alirusha baruti moja imetengenezwa na choki ya pikipiki huku imefungwa manyoya ya kuku.

Stori ilikua kuna ticha wa hesabu alikua mnaa sasa akatupiwa hiyo baruti akiwa anatembea kwenye korido akielekea darasani, Kilichotokea hapo acha tu kwani alienda kwa mwalimu mkuu kwamba katupiwa bomu hahahaaha.
manundaa
 
Haaa haaa haaa huko n noma
Af enz hzo watu n wakubwa co now
Kuna vitoto vdgo yan unaweza sema havikui
[emoji23] [emoji23] usinikumbushe nilisoma shule wale majamaa ni wakubwa kama baba yangu aisee walikua ni wakorofi wa karne,likikusogelea unatetemeka
 
hii ni shule ya msingi.. mi nilikuwa mchora ramani wa darasa
sijawahi ingia kipindi cha hesabu kuanzia darasa la tatu mpaka la saba, hata walimu wa hilo somo hawakuwa wakinifahamu, ia nilikuwa mkimbiza upepo mzuri enzi za umitashumta, namba mbili au moja ndio zilikuwa namba zangu..nilikuwa mtoro siku zingine nashinda mtoni asubuhi na mapema katika begi la shule kuna karai, na mafuta ya kula, nikifika mtoni siulizi natafuta mtumbwi wowote uwe mzima ama m bovu naanza kukagua nyavu za wavuvi moja baada ya nyingine na nikikuta samaki sitoi kistaarabu ntachelewa, napitisha wembe, ilikuwa kujulikana siku mtumbwi ulipobiduliwa na kiboko na kunifanya nirudi home uchi,
vichongeo nilikuwa navyo zaidi ya mia tatu home
nilikuwa na mikebe ya wenzangu kama hamsini
nilikuwa na funguo zinazofungua shule nzima mpaka nyumba za walimu, kwa walimu sikuwa nachukua chochote zaidi ya vitabu na tukikuta msosi tunakamua tunasepa
nilikuwa mpole sana kiasi ukiletewa kesi yangu kama ni mwalimu lazma unisamehe
nilikuwa pia mkorofi nakudunda na ukienda kunishtaki unachapwa wewe

pia ule mchezo wa kuweka vioo chini kuchungulia chupi zao nilikuwa nao
 
Mm nilikua nacheza part zote ispokua ya john kisomo tu mkuu[emoji23][emoji3]
 
Back
Top Bottom