Wewe Uliskia wapi amehojiwa katika station ya Kenya

Rais katuharibia nchi sana huyu jamaa hata mambo ya IS ni kwa sababu yake
 
Sielewi unachomaanisha unaweza kufafanua kama ukipenda, BTW kwenye Lugha ya Kiswahili fasaha hakuna kitu kama dongo kundu, walioita dongo kundu siyo watu wa Mombasa bali ni Muzungu na sababu ni kwamba Muzungu kulingana na lugha yake germanic ni ngumu sana kutamka ,,mwe- kundu“ hivyo anatamka tu kundu kwa kurahisisha lkn Mkenya hawezi kushindwa kutamka mwekundu ni kama sisi kwetu mfano timu ya mpira inaitwa young african lkn tunaita Yanga, kwa sababu ya kibantu, ni lazima neno liishie na silabi aeiou, Mswahili hawezi kulitamka neno la Germanic vizuri ni lazima ataongeza silabi mwisho Julius atasema Juliasi, John atasema Joni n.k.
 
Huyo Mtangazaji anaongea kama mtoto anayejifunza Lugha ya Kiswahili anachefua tu.
Kiswahili na Kenya wapi na wapi? Ingekua ndio watanzania tuna ongea English hivyo dunia ingetushangaa, wanaongea kiswahili cha chooni.
 
Sina muda wa hizi pumba zako, sasa imekuwa ni wakoloni na mabeberu, hapo awali ilikuwa ni wakenya wa Mombasa. Alafu mbona Dongo, Kundu zinaisha na silabi 'o' na 'u'? Hujatia mguu wako ndani ya Mwambao, hilo lipo wazi, ndio maana unatapatapa tu.
...nilifika Mombasa huko Wakenya udongo mwekundu, wao wanaita dongo kundu...
Umesema wabantu wote wanaweza kusoma na kutamka maneno yote ya 'kibantu'. Haya kazi kwako, hiki hapa ni Kikikuyu. "Cúcú ciere ciana ciaku ciothe ciathie ciira ciorio ciuge ciea ciothe ciare ciaku."
 
Huyu mwamba ni maarufu sana Kenya kuliko hata jimboni kwake ila wakenya wanamtumia kama meme😂😂
 
Unasema hauna muda na pumba zangu, unachekesha sana hivi ni wapi nilikufwata kukuomba hata unijibu ,,pumba zangu“ hadi useme hauna muda? Ni nani aliyeanza kumjibu mwingine? Mimi nilikuwa namjibu mleta Mada wewe kilichokuuma nini hadi udakie ?
 
Sasa mbona marehemu ni neno la Kiarabu? Ni bora hao watu wako wa Malindi.
 
Nimekueleza hivyo nikikurai utupie hoja ambazo zina mashiko na ambazo zina misingi ya 'facts'. Sio hizo pumba na hadithi za Abunuwasi. Ila walisema wazee wa ndemi na mathathi kwamba sikio la kufa halisikii dawa. Kwahivyo usiwe na presha, uwanja ni wako.
 
Una evidence gani kuwa Mzungu ndiye aliyetamka neno "dongo kundu?'
 
Huyu mwamba ni maarufu sana Kenya kuliko hata jimboni kwake ila wakenya wanamtumia kama meme😂😂
Kawaida ya wakenya kufuatilia kila particle inayopatikana Tanzania, hata piere liquid walimpokea kama umeme.
 
Jinsi mnavyoona msamiati wetu ni wa kijinga ndivyo tunavyoona msamiati wenu ni wa kijinga. Shida yenu hamuelewaki linguistics.
We zwa zwa kweli yaan onset ya kiswahili una hoji uwezo wetu .... ZERO ww

Sawa na kusema wewe na ka engglish kako broken ukahoji misamiati ya waingereza ....
You like it or not, Kiswahili chimbuko na magwiji wa hii lugha wapo hapa Tz
Acheni kuharibu lugha
 
Jinsi mnavyoona msamiati wetu ni wa kijinga ndivyo tunavyoona msamiati wenu ni wa kijinga. Shida yenu hamuelewaki linguistics.
We zwa zwa kweli yaan onset ya kiswahili una hoji uwezo wetu .... ZERO ww

Sawa na kusema ww na kq engglish kako broken ukahoji misamiati ya waingereza ....
You like it or not, Kiswahili chimbuko na magwiji wa hii lugha wapo hapa Tz
Acheni kuharibu lugha
 
Jinsi mnavyoona msamiati wetu ni wa kijinga ndivyo tunavyoona msamiati wenu ni wa kijinga. Shida yenu hamuelewaki linguistics.
We zwa zwa kweli yaan onset ya kiswahili una hoji uwezo wetu .... ZERO ww

Sawa na kusema ww na kq engglish kako broken ukahoji misamiati ya waingereza.
You like it or not, Kiswahili chimbuko na magwiji wa hii lugha wapo hapa Tz
Acheni kuharibu lugha
 
Sasa mbona marehemu ni neno la Kiarabu? Ni bora hao watu wako wa Malindi.
Acha uzero ww, moja kati ya utajili wa lugha ya kiswahili ni uwezo wake wa kutohoa misamiati

Mbona ata neno Meza pia limetoholewa

Na ukumbuke chimbuko la lugha ya kiswahil ni pqmoja na lugha ya koaarabu
 
Sasa nani zero hapa kama siyo wewe?
 
Hiyo ni lugha gani umeandika? Andika kwa lugha inayoeleweka ndio tuongee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…