Wewe umejifunza nini hapa?

Wewe umejifunza nini hapa?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Kwa upande wangu kupitia matokeo ya first leg nimejifunza ni kwanini Mamelod walikuwa wanalilia kupangwa na Simba
1711877512134.jpg
 
Mamelodi walilia kupangwa na simba ili wacheze na timu inayoweza kuwachallenge yanga wameishia kupaki bus kama vile wao ndo wako ugenini na mechi imepoteza ladha
First half Yanga SC 76% VS 24% Mamelody Sundowns
On target Yanga SC 3 VS 1 Mamelody Sundowns

Nani kapaki basi hapo au mpira ni second half tu?

Aden Rage ajengewe sanamu "Mbumbumbu".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mamelodi walilia kupangwa na simba ili wacheze na timu inayoweza kuwachallenge yanga wameishia kupaki bus kama vile wao ndo wako ugenini na mechi imepoteza ladha
Unahitaji matibabu mkuu! Am very serious! Yani unaumwa kabisa.

Wewe ni mwanasimba og inapasa ujue timu yako ni mbovu japo majina ya wachezaji ni makubwa. Kubali kuwa mmeshuka kiwango ili hata mnapofungwa usiumie sana.

Yani kombe linaloleta utajiri wa mabilioni pale ukishinda , eti uombe kupangiwa timu ya kukuchallenge badala ya kibonde upige khamsa ukachukue mawe?!!

Ukweli kila timu iliitaka kupewa Simba yenye historia ya kuishia robo fainali na hilo limetimia, mechi ya marudiano Cairo ni ya kukamilisha ratiba.

Yanga ni timu yenye saprais hakuna alieitaka!

Hizi kamba hata mwanangu wa vidudu humfungi!!

Poleni sana makolo timu hamna. Mmetia aibu sana mechi nne za robo fainali mmefungwa nyie tu tena kwenu kwa Mkapa hatoki mtu mkajaza uwanja!
 
Mimi nimejifunza mpira siku zote unachezwa uwajani! Na siyo mdomoni, au kwa timu kuingia na matokeo yake ya mfukoni. Do you get me?
 
Kingine nilichojifunza ni unafiki wa watanzania hasa mashabiki wa yanga, Jana Dickson Job kapangwa namba mbili na amecheza bila kugoma lakini alipoambiwa na kocha wa taifa acheze namba mbili alimgomea.
Mbaya zaidi kocha alipimwacha kwa utovu wa nidhamu na kukosa uzalendo wengi walimshambulia kocha wa taifa na kumtetea Dickson Job.
Ila Jana kocha wa yanga kawaumbua.
 
Back
Top Bottom