Jo Assistant
Senior Member
- Jun 20, 2014
- 195
- 199
- Thread starter
- #21
Upo vizuri mdau...🙌🏼
(Mimi pia nilikuwa napenda kuchora kipindi fulani)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo vizuri mdau...🙌🏼
Nyeto mwaka wa 15 huu na sijapata tatizo lolote🙆🏽♂🙆🏽♂🙆🏽♂ Kaka kaka... Huo mchezo ni hatari!
Ubunifu wa mavazi..ingawa sijauchukulia ile seriousAt last....👏🏼👏🏼 Mbunifu mwenzangu! Naomba kujua unajishughulisha na nini katika ubunifu.
Bora tu uoe.Nyeto mwaka wa 15 huu na sijapata tatizo lolote
Hongera!Ubunifu wa mavazi..ingawa sijauchukulia ile serious
Ni kweli...Wengi tunavipaji ambavyo hatuvijui.
Duh hatari we ni mkali.
Wewe bado underground! Mimi mwaka wa 20 huu!!Nyeto mwaka wa 15 huu na sijapata tatizo lolote
Namba 5 sijaelewaBinafsi nina vipaji vifuatavyo:
1. Drawing
2. Designing (house)
3. Painting
4. Writing
5. Technician
6. Watching movies na kusimulia kama ilivyo.
Zamani sana nilikuwa nafanya hizi kazi 1-4 kwa kuchora mabango ya matangazo, maduka ya vyakula, garage, hotels maduka ya sonara, saluni...lakini kwa sasa najishughulisha zaidi na ufundi.
Nakumbuka nilianzia kwenye 2000 huko. Kipindi nilipokuwa shule nilijishughulisha sana na uchoraji pamoja na kushiriki mashindani ya uchoraji ambapo sikuwahi kufanikiwa kushika namba 1, lakini namba 2 nilishika sana.
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Technician:Namba 5 sijaelewa
Ahsante SanaHongera!
Ili ubunifu uwe wa maana, zingatia na wekeza zaidi katika mambo haya matatu: NIA, MUDA, UVUMILIVU.
Nimeona wabunifu kadhaa wa mavazi ambao wamefikia hatua ya kuwa washonaji binafsi (personal tailors) wa 'watu maarufu' (wabunge, wasanii, n.k) hapa TZ na nje. Jifunze na ubuni zaidi!
Naamini unaweza kufika mbali...
Karibu...Ahsante Sana
Hongera kaka... Keep it up!Binafsi nina vipaji vifuatavyo:
1. Drawing
2. Designing (house)
3. Painting
4. Writing
5. Technician
6. Watching movies na kusimulia kama ilivyo.
Zamani sana nilikuwa nafanya hizi kazi 1-4 kwa kuchora mabango ya matangazo, maduka ya vyakula, garage, hotels maduka ya sonara, saluni...lakini kwa sasa najishughulisha zaidi na ufundi.
Nakumbuka nilianzia kwenye 2000 huko. Kipindi nilipokuwa shule nilijishughulisha sana na uchoraji pamoja na kushiriki mashindani ya uchoraji ambapo sikuwahi kufanikiwa kushika namba 1, lakini namba 2 nilishika sana.
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Mimi vimepotea vingi cha ucomedy bado kipo pia ila kibongobongo jau sana, mpaka ukaanze kuvaa madela na vijora vyakike ndio wanakuelewa[emoji28][emoji28]Muziki,mpira,ubunifu,uchoraji,fashion,comedian
hapo kuna baadhi vinazidi kupotea..
Safi sana! 👏🏼Muziki,mpira,ubunifu,uchoraji,fashion,comedian
hapo kuna baadhi vinazidi kupotea..
Ha ha ha ha! nakumbuka kipindi niko skuli nikiongelea utani kidogo darasa zima wanacheka.. ilifika kipindi nikishinda shule wanafunzi wanakuja kunifuata home.. sema life linatufanya tue serious na nchi yetu hii kutoka hata kwenye mpira jau sanaMimi vimepotea vingi cha ucomedy bado kipo pia ila kibongobongo jau sana, mpaka ukaanze kuvaa madela na vijora vyakike ndio wanakuelewa[emoji28][emoji28]