SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Ujajibu swali elewa ndio ujibuMwanamke msaliti hastahili kusamehewa kwa namna yoyote ile, no matter what..!!
Unakili sana huwaMwanamke akiwa na mimi kuchepuka sio kosa kabisa , kidude ni chake hivyo wakumpa nani na wakati gani achague mwenyewe.
Paragraph yako ya kwanza inajieleza wazi, That's why nikasema Mwanamke msaliti hastahili msahama wa aina yoyote ile hata kama upoteze kibarua chako kwa sababu yake.Ujajibu swali elewa ndio ujibu
Hahahh... Hii kali.Ukija jua mkeo naye nimchepuko wa bossy wako unapofanyia kazi nayeye ndio alimtafutia kazi .
Umemzalisha mchepuko wako mtoto mmoja na mke anajua unamtoto njee maana bossy wako ndio msiri wako mkubwa utafanyaje??
Nahuwezi kumuambia bosy wako achane na mke wako maana anasiri zako kibao pia au utajiua wewe kuepuka aibu.
Ukija jua mkeo naye nimchepuko wa bossy wako unapofanyia kazi nayeye ndio alimtafutia kazi .
Umemzalisha mchepuko wako mtoto mmoja na mke anajua unamtoto njee maana bossy wako ndio msiri wako mkubwa utafanyaje??
Nahuwezi kumuambia bosy wako achane na mke wako maana anasiri zako kibao pia au utajiua wewe kuepuka aibu
Wewe mke ana umaa bhana haijarishi ni boss au nan hapo lazima iwe mbwai tuUkija jua mkeo naye nimchepuko wa bossy wako unapofanyia kazi nayeye ndio alimtafutia kazi .
Umemzalisha mchepuko wako mtoto mmoja na mke anajua unamtoto njee maana bossy wako ndio msiri wako mkubwa utafanyaje??
Nahuwezi kumuambia bosy wako achane na mke wako maana anasiri zako kibao pia au utajiua wewe kuepuka aibu.
Mfumo jike huuMwanaume ameumbiwa tamaa. Kwahiyo ruksa kwa mwanaume kuwa na wanawake wenge aside main chick. Ndio maana kuna ndoa za mitaala yaani mwanaume uoe wanawake wengi. Ila mwanamke hawezi olewa na wanaume wengi ikiwa hivyo huyo anakuwa ni malaya.
MmhWewe mke ana umaa bhana haijarishi ni boss au nan hapo lazima iwe mbwai tu
Kwani wanaume huwa mnasaliti na wanaume wenzenu au wanawake?Mwanamke msaliti hastahili kusamehewa kwa namna yoyote ile, no matter what..!!