Honestly kigarama wanaume wana gubu mbaya mno! anarudia rudia hivyo na wakati mwingine atanyamaza ukidhani yameisha kumbe anavuta pumzi huh!
Wanaume wana gubu balaa, looh.si wachache kama unavyodhani na kimsingi hatuwezi kujua statistic yao ila kama ilivyo kwa wanawake hiyo personality iko kwa wanaume pia.Thank God my hubby hayuko na hii kitu!
Ndo nakwambia ivo sasa, wivu si wivu, ushari si ushari, mradi atakuchokonoa mpk.Sasa hapa mnatusingizia!!
...wanawake wanaongoza katika hili...hakuna UBISHI
thanks mme. Misiwezi kuwa na gubu., lakini mi nashukuru Husninyo hana gubu.
Mkuu inabidi tuanzishe masomo ya kujiendeleza hapa wengi wanawahi ukubwani.