Wewe ungefanyaje

Wewe ungefanyaje

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
TABUTUPU ALIOA MIAKA MITANO ILIYO PITA BAHATI MBAYA HAWAISHI TENA NA MKEWE TATU. NINI KILITOKEA?

MKASA: BAADA YA MIAKA YA NDOA, HAKUNA MTOTO ALIYE ZALIWA . MAMA MKWE (MAMA TABUTUPU) KILA WEEKEND YUPO, JUST KUMSEMA MKWEWE KWA SABABU HAJAMZALIA MTOTO. WAKATI HUO TATU ALIKUWA ANAJUA, TATIZO NI LA TABUTUPU. BAADAE IKAFIKA NDUGU ZAKE TABUTUPU WAKAWA WANAMCHUKIA SANA TATU ETI ANAONGEZA GHARAMA TUU ZA MASIHA HAKUNA ANACHO FANYA.

TATU AKAAMUA KULALA NA KIJANA WAKE WA KAZI NA KUWA TANGAZIA WOTE KUWA MWISHO WA KILIO CHAKE UEMFIKA. KWA FURAHA NGUGU ZAKE WAKAFANYA SHEREHE NDOGO YA KUMPATA MTOTO WALIYE MSUBIRI KWA MIAKA MINGI.

WAKATI SHEREHE ZINAENDELEA TATU AKASIMAMA NA KUOMBA MIC, BILA KUJUA WAKAMPA MIC;

NDUGU ZANGU NIPO HAPA NANYI KUFURAHIA KUZALIWA KWA HUYU MTOTO, JAPO NASIKITIKA KUWAELEZA KUWA MTOTO SI WENU, NIMEZAA NA KIJANA WANGU WA KAZI NA NINAYE HAPA. KWA MUDA MREFU MMENITUKANA NA KUNIDHARAU WAKATI TATIZO HALIKUWA LANGU TATIZO NI KIJANA WENU TABUTUPU.

KWA HIYO NAOMBA NIONDOKE NA KIJANA WANGU ALIYE NIZALSIHA? PAMOJA NA MTOTO, NIWAACHIE KIJANA WENU , MMENITUKANA VYA KUTOSHA, mUNGU AKUBARIKI;

UKAWA NDOO MWISHOI WA NDOA YA TABUTUPU

JE KTK HALI KAMA HII UNGEFANYAJE, AS TABUTUPU OR AS TATU.


NAJUA NI MAMBO AMBAYO NI MAGUMU SANA LAKINI MTANIWIA RADHI KWA HILI.
icon1.png

ava12.jpg
 
aibu!!!! sasa hapa kuna nini cha kufanya wakati tatu tayari kasha onyesha njia...shaza zaa na house boy na kaamua kusepa na huyo bwana. tabutupu yeye akubali kuwa imekula kwake...na kweli tatizo lipo kwake yeye hivyo basi akiingia kwenye uhusiano wowote ule mwingine awe mkweli tuu kwa huyo better half wake.
 
sad for tabutupu...ila imeshatokea imetokea,ilaa kama anarusha majiii poa.aendelee na maisha atafute mwanamke mjane mwenye watoto amueleze kwamba nia yake si kuzaa nae ilaa kuishi nae na atalea watoto wa huyo mwanamke kama wake.life goes on....
 
Hapo hakluna la kumshauri Tabu tupu ila ndo yashatokea
tabu tupu hana uzao
Na hili lipo sana siku hizi
Wanaume tunabakia wanaume jina na wanaume suruali
Kila kitu kipo sawa ila ule uwezo wa kumfanya mwenza awe na mtoto unakosekana
Ile kuwasingizoa wake zetu imekuwa sio issue tena
 
Duh! Pole tabutupu.. Ila mke wa tabutupu cdhan kama amemtendea hak mumewe akumbuke wale ni ndugu tu!
 
Ndio tatizo letu huwa tunaona siku zote kuwa wanawake ndio wenye matatizo, lakini in reality wanaume tuna matatizo tena makubwa zaidi kuliko hata wanawake...
 
hospitali zipo si ukaangalie kama huna tatizo au unalo ujue la kufanya?kuliko fedhea kama hii?
 
Ndio tatizo letu huwa tunaona siku zote kuwa wanawake ndio wenye matatizo, lakini in reality wanaume tuna matatizo tena makubwa zaidi kuliko hata wanawake...

Kwa hili huyo Tatu wenu hakuonyesha busara hata kidogo!Kama ni mimi nampa go ahead aendelee na maisha yake!
 
tabutupu alioa miaka mitano iliyo pita bahati mbaya hawaishi tena na mkewe tatu. Nini kilitokea?

Mkasa: Baada ya miaka ya ndoa, hakuna mtoto aliye zaliwa . Mama mkwe (mama tabutupu) kila weekend yupo, just kumsema mkwewe kwa sababu hajamzalia mtoto. Wakati huo tatu alikuwa anajua, tatizo ni la tabutupu. Baadae ikafika ndugu zake tabutupu wakawa wanamchukia sana tatu eti anaongeza gharama tuu za masiha hakuna anacho fanya.

Tatu akaamua kulala na kijana wake wa kazi na kuwa tangazia wote kuwa mwisho wa kilio chake uemfika. Kwa furaha ngugu zake wakafanya sherehe ndogo ya kumpata mtoto waliye msubiri kwa miaka mingi.

Wakati sherehe zinaendelea tatu akasimama na kuomba mic, bila kujua wakampa mic;

ndugu zangu nipo hapa nanyi kufurahia kuzaliwa kwa huyu mtoto, japo nasikitika kuwaeleza kuwa mtoto si wenu, nimezaa na kijana wangu wa kazi na ninaye hapa. Kwa muda mrefu mmenitukana na kunidharau wakati tatizo halikuwa langu tatizo ni kijana wenu tabutupu.

Kwa hiyo naomba niondoke na kijana wangu aliye nizalsiha? Pamoja na mtoto, niwaachie kijana wenu , mmenitukana vya kutosha, mungu akubariki;

ukawa ndoo mwishoi wa ndoa ya tabutupu

je ktk hali kama hii ungefanyaje, as tabutupu or as tatu.


Najua ni mambo ambayo ni magumu sana lakini mtaniwia radhi kwa hili.
icon1.png

View attachment 39365

duh mmama umenikumbusha mbali kweli kweli ;kuna kipindikabla ya kuoa mwanamke mmoja tulipendan ikafikia akaamua kuja kuishi kwangu kumbe ana nia ya mtotoo...akawa kila akiamka hata ndoa aiju anawaza mtoto wetu atakuwa mzurii eee..tukafanyana mwakamzima asianze kunitangza ati mwaya jamaa chini shoeshiner;;aisee nilipojua nikamwambia akaanza kuniambia haya maisha ya kufanyana tuu yanaisha lini kesho yake nilikuja na ka canter kjitonyama nikachukua changu;;aliposikia naoa akaaongea mengi sana sana ...akaawa anatumia wapuuzi kunipigia usiku nikabadili namba akaijua mwisho sijui akapataje simu ya mke wangu akaongea mengi sana ..unajua maaana ya kusimama na maombi na mungu nilimwambia mungu naitaji mtoto ndani ya miezi sita ..ilinichukua miezi 4 maamaa kuanza kutema mate yasiyo na kipimo aliposikia nilimwambia wewe unarudi usiku umelewa mi natoka safari narudi hoi huyo mtoto si lazima aitwe sikuzani

nikamwambia utakapoamua kukukua na kuolewa utaota watooto wazuri mpaka leo namshukuru mungu mtoto wangu nafurahi nae ndan ya ndoa anajua kuna baba anarudi usiku nikiamkanamtoa kapampas anajua baba anakula kona asbh
 
Back
Top Bottom