Wewe ungefanyaje???

Wewe ungefanyaje???

Hiyo scenario yako hujaiweka vizuri...

Haina uhalisia.. Anyway,kwa hili kila mtu ana majibu yake..
Ndio maana kakuuliza ingekuwa WEWE ungefanyaje? Hayo majibu ya wengine hana haja nayo, mpe majibu YAKO...!
 
Ni muda mfupi tangu uoe. Sikumoja uliporudi kutoka kazin ukamkuta mwanaume ambaye mkeo amekutambulisha kuwa walisoma darasa moja hivyo ni kama kaka yake. Ikawa mara kwa mara unaporudi unamkuta mwanaume huyo kwenye chumba chenu mlichopanga akipiga stori na mkeo.


Sikumoja kunajamaa akakutonya kuwa yule mwanaume na mkeo ni wapenzi wa siku nyingi. Ulipomuuliza mkeo kuhusiana na tuhuma hzo anakwambia kuwa ni kweli alikuwa mpenz wake na ndie mwanaume wake wakwanza aliemtoa usichana ila ni muda mrefu wameachana, wamebaki kama kaka na dada.

JE UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?

piga chini hakuna kuremba
 
Back
Top Bottom