Sawa acha nirudi tena kwenye maombi shetani asije kupitia bureHili ndio unalotakiwa kuniombea aisee...!
Daah,fanya hivyo.Sawa acha nirudi tena kwenye maombi shetani asije kupitia bure
Hivi unajuaje kama mtoto wa kike PM yake ameifunga ? Maana nataka nikianza vurugu zangu niwe najua kabisa mapema kama huyu kafunga au la !Sawa acha nirudi tena kwenye maombi shetani asije kupitia bure
Poa poaDaah,fanya hivyo.
Ilo swali ungeuliza wanaume wangekupa jibu lenye uhakikaHivi unajuaje kama mtoto wa kike PM yake ameifunga ? Maana nataka nikianza vurugu zangu niwe najua kabisa mapema kama huyu kafunga au la !
Sasa nyinyi si ndio huwa mnazifunga bibie ? Ina maana hamjui kinachotokea ?Ilo swali ungeuliza wanaume wangekupa jibu lenye uhakika
Njoo tujifiche huku.Abee
Ebwana mtaalamu unajuaje kama mtoto wa kike amefunga PM yake ? Nataka nijue mapema kabla sijaanza vurugu zangu.Mm uvumilivu ushanishinda kila naogopa kumwambia
mimi nitakua zamu yangu kulinda chupa ya kuokolea wengineUnakaribishwa
[emoji15][emoji15][emoji15]Mpira wa salama ko*dom au 3 Bombs
(condom brands)
Hiii misamiati inaniacha mataa. ..kumbe kuna chupa pia?mimi nitakua zamu yangu kulinda chupa ya kuokolea wengine
hivi kumbe ni mbabe huyu?!Rafiki naona siku hizi umepunguza ubabe![emoji122][emoji122][emoji122]
She once kicked ass of people here in JF!hivi kumbe ni mbabe huyu?!
wewe wa kishua hujawai kucheza huu mchezo lazima tukuache mataa, poleHiii misamiati inaniacha mataa. ..kumbe kuna chupa pia?
tuzungumze kiswahili ndugu yangu...mimi hapo umeniacha!!She once kick ass of people here in JF!
Leo unalala kwenye Kochiwewe wa kishua hujawai kucheza huu mchezo lazima tukuache mataa, pole
Mimi sijui mkuu..Sasa nyinyi si ndio huwa mnazifunga bibie ? Ina maana hamjui kinachotokea ?
ukinitoroka hapa na leo nitalala tu,Leo unalala kwenye Kochi
Nimeshamuuliza mdau mmoja hapa nasubiri jibu.Mimi sijui mkuu..
Njoo tujifiche huku.