wewe ungejificha na nani?? mtagi ajijue

wewe ungejificha na nani?? mtagi ajijue

Sawa acha nirudi tena kwenye maombi shetani asije kupitia bure
Hivi unajuaje kama mtoto wa kike PM yake ameifunga ? Maana nataka nikianza vurugu zangu niwe najua kabisa mapema kama huyu kafunga au la !
 
Hivi unajuaje kama mtoto wa kike PM yake ameifunga ? Maana nataka nikianza vurugu zangu niwe najua kabisa mapema kama huyu kafunga au la !
Ilo swali ungeuliza wanaume wangekupa jibu lenye uhakika
 
Mm uvumilivu ushanishinda kila naogopa kumwambia
Ebwana mtaalamu unajuaje kama mtoto wa kike amefunga PM yake ? Nataka nijue mapema kabla sijaanza vurugu zangu.

Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom