Wewe ungeniuzia mkoa gani?

Wewe ungeniuzia mkoa gani?

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,203
Reaction score
37,906
Nataka kuuziwa mkoa mmojawapo na watu wake, na vyote vilivyomo, naomba ushauri wako, ninunue mkoa gani na kwa nini unadhani ni sahihi mimi kuununua mkoa huo?
 
Dodoma chukua bure ais?e majitu majinga Yale halafu maskini yakutupwa
 
Chukua Manyara kwasababu huwa nina usahausahau sana kwenye halmashauri ya Kichwa changu.
 
Dodoma kunakufaa kabsa maana hauna garama kubwa kama mikoa mingne
 
Ruvuma inakufaa maana watu wake hawajitambui pia kuna uraniam utafaidika
 
Kiukweli sijui kwanini umekuja na wazo hili ila Arusha na Kilimanjaro itakufaa sana ukitaka wa nyongeza chukua na Mbeya Bure.
 
Cute b nitakuharibu hiyo sura. Mtoa thread kabla ya yote tuambie umetoka mkoa gani ili tukujibu
 
Chukua mara kwa wapiganaji[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom