Wewe wakutufanyia hivyo kweli?

Wewe wakutufanyia hivyo kweli?

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,643
1. Hivi Barcelona wakuwafanyie vile Man city tena mbele ya Pep Guardiola mtu aliyewapa mafanikio?
2. Jaman jaman Chelsea ndo nini sasa au mmemsahau Jose Mourinho?,oneni sasa mmeleta janga eti siti za nyuma kwenye daladala zinaitwa Man utd
3. Mjomba JPM mbona unatufanyia hivi?,umetugeuka CCM wenzio japo tuliimba pamoja "wataisomba namba" lkn sasa mmmh wale masikini ulisema utawasaidia naona kama umewageuka aiseeee
 
Back
Top Bottom