Wezi wa Kishua

Wezi wa Kishua

Hawa jamaa ni wakishua kabisa ila wezi aisee.
Mkuu kuna wezi na majambazi... Hawa ni majambazi... Ni system, wakuna watu walimfatilia mwenye hiyo gari wakajua anakiasi au mali fulani, wakadeliver taarifa, taarifa inafanyiwa kazi unasukwa mpango wanatuma wazee wakazi. ((ukiwa na pesa kuwa makini na watu wako wa karibu au marafiki wapya(unaweza kuta wanakucholea tu lamani siku ujae kwenye mfumo)))

Majambazi mara nyingi wanakuaga na bosi wao, huyo bosi sio kinyonye., ana kira aina ya zana itakayofaa katika shughuli zao, pia wanakuwa na mpango mkakati(michongo ya maana na ramani zake inawekwa mezani) mamaster mind wanaanda mission.

Mishe nyingine Inabidi waende na ndiga ya aina flani kulingana na mazingira.

Kuna mazingira Inabidi wawe na fuso, au range, hata semi-trailer
 
Ina maana huyo jamaa kakipush tu kioo kikavunjika kwa ndani? tena hana hata gloves! hawa watakua ni maexpert wa hii kazi.
 
Mkuu kuna wezi na majambazi... Hawa ni majambazi... Ni system, wakuna watu walimfatilia mwenye hiyo gari wakajua anakiasi au mali fulani, wakadeliver taarifa, taarifa inafanyiwa kazi unasukwa mpango wanatuma wazee wakazi. ((ukiwa na pesa kuwa makini na watu wako wa karibu au marafiki wapya(unaweza kuta wanakucholea tu lamani siku ujae kwenye mfumo)))

Majambazi mara nyingi wanakuaga na bosi wao, huyo bosi sio kinyonye., ana kira aina ya zana itakayofaa katika shughuli zao, pia wanakuwa na mpango mkakati(michongo ya maana na ramani zake inawekwa mezani) mamaster mind wanaanda mission.

Mishe nyingine Inabidi waende na ndiga ya aina flani kulingana na mazingira.

Kuna mazingira Inabidi wawe na fuso, au range, hata semi-trailer
Ujambazi ni taaluma.
 
Back
Top Bottom