Wadau, kheri ya mwaka mpya wa 2025!
Bila kupoteza muda nataka niwasanue wale wenye tamaa na pesa za fastafasta kabla vilio havijawa vingi.
Ni hivi, Kuna scam inaendelea mtandaoni ipo hivi,
1. Kwanza wanakutext Whatsapp, wanajitambulisha wao ni ma recruiter wa amazon, wanakuhakikishia kuwa wao sio wezi/scammers wa mtandaoni, utahoji wamepataje namba zako, watakwambia wana random database huko.
2. Wanakwambia subscribe YouTube account ya Amazon alafu piga screenshot alafu mtumie huyo mtu.
3. Ukishatuma wanakuunganisha na mtu ambaye yuko telegram ambaye anaitwa receptionist. Kama huna telegram anakwambia download.
4. Ukishawasiliana na huyo receptionist anakuuliza unataka ulipwe kwa mtandao gani? Unataka, ndani ya dakila 5 hivi, unarushiwa tsh 3000. Siku inaisha.
5. Kesho wanakuunganisha kwenye group la telegram ambapo utapewa task ya kufungua link za amazon na kupiga screenshot, kisha unatuma kwa receptionist wako, Kila task unapewa tsh 1000. Kwa siku unaweza kuaccumulate 10000. Wanakurusha fresh kabisa.
6. Siku inayofuata unafanya vilevile. Ila sasa, Kuna task inaitwa "merchant purchase" hapa sasa ndipo task yenye mauzauza. Unapewa chart, kiwango Cha pesa Cha uwekezaji na commission yake. Mfano ukiweka 30000, ndani ya dakila 5 inarudi 39000, 1.5m inaleta 2.1m. wanadai ni pesa sijui wanafanya Nini kwa vendors uchwara uko amazon. Ukicheza mara moja mbili wanakupa kweli, ila sasa wakishakusanya zakutosha utajuahujui. Binafsi Huwa siamini kwenye pesa za mazingaombwe nimeona niwasanue tu wadanganyika maana juzi nimemkuta mahala dada anawaringishia wenzie anavyo ingiza pesa nikawaambia tulieni ata toa mlio soon.