Wezi wa Mtandao. Upatu tena

Wezi wa Mtandao. Upatu tena

paqwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,106
Reaction score
2,831
Wadau, kheri ya mwaka mpya wa 2025!
Bila kupoteza muda nataka niwasanue wale wenye tamaa na pesa za fastafasta kabla vilio havijawa vingi.
Ni hivi, Kuna scam inaendelea mtandaoni ipo hivi,
1. Kwanza wanakutext Whatsapp, wanajitambulisha wao ni ma recruiter wa amazon, wanakuhakikishia kuwa wao sio wezi/scammers wa mtandaoni, utahoji wamepataje namba zako, watakwambia wana random database huko.

2. Wanakwambia subscribe YouTube account ya Amazon alafu piga screenshot alafu mtumie huyo mtu.

3. Ukishatuma wanakuunganisha na mtu ambaye yuko telegram ambaye anaitwa receptionist. Kama huna telegram anakwambia download.

4. Ukishawasiliana na huyo receptionist anakuuliza unataka ulipwe kwa mtandao gani? Unataka, ndani ya dakila 5 hivi, unarushiwa tsh 3000. Siku inaisha.

5. Kesho wanakuunganisha kwenye group la telegram ambapo utapewa task ya kufungua link za amazon na kupiga screenshot, kisha unatuma kwa receptionist wako, Kila task unapewa tsh 1000. Kwa siku unaweza kuaccumulate 10000. Wanakurusha fresh kabisa.

6. Siku inayofuata unafanya vilevile. Ila sasa, Kuna task inaitwa "merchant purchase" hapa sasa ndipo task yenye mauzauza. Unapewa chart, kiwango Cha pesa Cha uwekezaji na commission yake. Mfano ukiweka 30000, ndani ya dakila 5 inarudi 39000, 1.5m inaleta 2.1m. wanadai ni pesa sijui wanafanya Nini kwa vendors uchwara uko amazon. Ukicheza mara moja mbili wanakupa kweli, ila sasa wakishakusanya zakutosha utajuahujui. Binafsi Huwa siamini kwenye pesa za mazingaombwe nimeona niwasanue tu wadanganyika maana juzi nimemkuta mahala dada anawaringishia wenzie anavyo ingiza pesa nikawaambia tulieni ata toa mlio soon.
 
juzi nimemkuta mahala dada anawaringishia wenzie
Huyo mdada atakuwa x wangu maana amekuwa muhawasishaji wa hii kitu htr ,nikimuuliza ofc za hao jamaa zipo wap yy mwenyewe hajui ,ananiambia ww wekeza tu 😂😂
 
Atakuja kutoa mlio wa mwaka mpe muda, wale jamaa wako kama hawana haraka yani, wanakuacha ujimalize.😂
 
Wadau, kheri ya mwaka mpya wa 2025!
Bila kupoteza muda nataka niwasanue wale wenye tamaa na pesa za fastafasta kabla vilio havijawa vingi.
Ni hivi, Kuna scam inaendelea mtandaoni ipo hivi,
1. Kwanza wanakutext Whatsapp, wanajitambulisha wao ni ma recruiter wa amazon, wanakuhakikishia kuwa wao sio wezi/scammers wa mtandaoni, utahoji wamepataje namba zako, watakwambia wana random database huko.

2. Wanakwambia subscribe YouTube account ya Amazon alafu piga screenshot alafu mtumie huyo mtu.

3. Ukishatuma wanakuunganisha na mtu ambaye yuko telegram ambaye anaitwa receptionist. Kama huna telegram anakwambia download.

4. Ukishawasiliana na huyo receptionist anakuuliza unataka ulipwe kwa mtandao gani? Unataka, ndani ya dakila 5 hivi, unarushiwa tsh 3000. Siku inaisha.

5. Kesho wanakuunganisha kwenye group la telegram ambapo utapewa task ya kufungua link za amazon na kupiga screenshot, kisha unatuma kwa receptionist wako, Kila task unapewa tsh 1000. Kwa siku unaweza kuaccumulate 10000. Wanakurusha fresh kabisa.

6. Siku inayofuata unafanya vilevile. Ila sasa, Kuna task inaitwa "merchant purchase" hapa sasa ndipo task yenye mauzauza. Unapewa chart, kiwango Cha pesa Cha uwekezaji na commission yake. Mfano ukiweka 30000, ndani ya dakila 5 inarudi 39000, 1.5m inaleta 2.1m. wanadai ni pesa sijui wanafanya Nini kwa vendors uchwara uko amazon. Ukicheza mara moja mbili wanakupa kweli, ila sasa wakishakusanya zakutosha utajuahujui. Binafsi Huwa siamini kwenye pesa za mazingaombwe nimeona niwasanue tu wadanganyika maana juzi nimemkuta mahala dada anawaringishia wenzie anavyo ingiza pesa nikawaambia tulieni ata toa mlio soon.
Nawajua hao wakinitafutaga nafurahi sana navuta elfu 3 naunga bando imeishaa
 
Wale wa “tuma kwenye namba hii” ndiyo wamezidi utadhani watu hawasajili line kwa mfumo wa kisasa kama walivyokuwa wameahidi kwamba njia hiyo ingepunguza matapeli

Kupokea sms zaidi ya mbili kwa siku siyo jambo la ajabu tena
 
Bora hao. Hawa yani wanakujaza mpaka. Alafu wapo telegram sasa, huwapati ng😱.
 
Nilikula 5000 yao hao.

Nikasema ngoja nione mwisho wao.. Wkaja baadae eti nitume hela kuwekeza. Nikawajibu tu hela sina. Wakaingia mitini.
 
Back
Top Bottom