Wezi wa ndoa muda wenu umeisha

Wezi wa ndoa muda wenu umeisha

Ninakwenda kinyume na maagano yote ya Infidelity .
Roho chafu zinazowa- convice wapwa na mabinamu kujihusisha na infidelity zishindwe na zilegee
Amen

Kuna vitu vingine kulegea ni ngumu BENDERA CHUMA, MLINGOTI WA CHUMA
 
Leo nimeshangaa sana, nimegombana na 'small house' mpaka tumepigiana mkwala 'its over'...nakuja hapa jukwaani nakutana na hii kitu....hehehehehe, kumbe nimefanyiwa maombi?
 
leo nimeshangaa sana, nimegombana na 'small house' mpaka tumepigiana mkwala 'its over'...nakuja hapa jukwaani nakutana na hii kitu....hehehehehe, kumbe nimefanyiwa maombi?

si maombi ni favour ya mungu imekudondokea kazi kwako kuomba nguvu za mungu zikusaidie kusimama na kuachana nao zile ni roho usione vile..jioni ya leo endelea kuomba mavazi hapo juu ukatakaswe na zaidi omba rehema ama soma zab 51 yote...akuna aliesafi wote wamefanya dhambi na kupungikiwa na utukufu wa mwingi lakini ukisoma timotheo utaona pamoja na uovu wakona uzinzi wako bado milango iko wazi yesu anakuitaji akusamehe dhambi zako\
anza sasa
 
maombi ya mkesha mazuri sana pdidy karibu kwenye chama chetu cha no to infidelity unakaribishwa kwa moyo mkunjufu.

smiles welcome party ni wapi tena? Nikumbushe.


madhabahuni
 
BABA KATIKA JINA LA YESU
JIONI HII NAKWENDA KINYUME NA KILA NGUVU ZINAZOONGEZA NYUMBA NDOGO KWA MWANA JF NA KILA MTANZANIA..NINALAAN KILA ALIEVAA VAZI LA KUTOFUNGA NDOA
VAZI LA KUACHIKA ,VAZI LA KUTEMBEA NA HGIRL,VAZI LA KIFO,VAZI LA MADENI,VAZI LA NYUMBA NDOGO,VAZI LA KUTOKUWA NA AIBU,,KWA JINA LA YESU NINAKWENDA KINYUME SASA,,NALAANI EWE MWOVU SHETANI UNAEFANYA WATU WAACHE KUMTUKUZA MUNGU NA KUKIMBILIA MAMBO MACHAFU,...KWA JINA LA YESU NINATANGAZA KUVAA VAZI LA FEDHA,VAZI LA KUKUBALIKA ,VAZI LA KUOA/KUOLEWA,VAZI A KUMPENDA MKEO/MUMEO NA KUACHANA NA NYUMBA NDOGO KWA JINA LA YESU NINATANGAZA KILA ANAESOMA MAHALI HAPA AKAWE NA UWOGA WA KUANGALIA PICHA CHAFU ZISIZOKUPENDEZA WEWE KWA JINA LA YESU.....KILA ALIE BAR SAA HII AKILA NYAMA CHOMA CHOMA NA KURUDI NYUMBAN AMESHIBA HUKU FAMILIA IKILALAMIKA MLENDA KILA SIKU NINAWALAANI NYIE MLIEKUWA NAE MNAOTUMIA PESA ZAKE NA KUACHA FAMILIA KWA JINA LA YESU NINAWALAANI ENYI MAPEPO ENYI WEZI WA NDOA ZA WATU KWA JINA LA YESU USIKU WA LEO MUNGU AKAWASAMBARATISHE IN JESUS NAME

amen

.aaaaameeen. Imetulia kwelikweli.lakini naomba kuulize, je, lile dirisha/forum ya dini inaingilika?thread hii ingekakaa kule ingependeza.
 
Back
Top Bottom